@nyotaraystv: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema endapo angepata nafasi ya kutoa neno moja la mwisho kwa Watanzania, angewataka wapambane ili kupata Katiba Mpya, na kwamba Watanzania hawapaswi kulegeza juhudi za kudai Katiba mpya, akisisitiza kuwa kuendelea kuipa kipaumbele ajenda hiyo kutasaidia kuhakikisha mchakato unakamilika chini ya uongozi wenye utayari wa kuutekeleza. "Ndio maana kama nina kitu cha kuwaambia Watanzania, ningeambiwa hebu Makamu wa Rais waambie Watanzania jambo moja tu nitasema Pambaneni mpate Katiba mpya, pamabaneni mpate katiba ambayo inamakubaliano ya wadau wote, Katiba yenye muafaka katika taifa, Katiba itakayotupeleka mbele miaka 50 inayokuja" Dkt.Nchimbi ameeleza haya Jijini Dar es salaam katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, na kwamba mjadala wa kupata Katiba Mpya umedumu kwa zaidi ya miaka 40, huku vuguvugu la kuitafuta likianza mwaka 1992. Amesema Serikali ya Awamu ya Nne ilianza mchakato wa Katiba Mpya, lakini changamoto iliyojitokeza ni kuwa madai ya Wananchi yalikuwa mengi na yalihitaji kushughulikiwa kwa pamoja. #FYP #fypage #tiktokTanzania #foryoupage❤️❤️ #tiktokkenya
NYOTARAYS TV
Region: TZ
Friday 24 July 2026 12:17:18 GMT
Music
Download
Comments
nickson mahinya :
Asante
2026-07-24 16:43:06
1
ismail Hassan :
ummmh hii michezo
2026-07-24 16:25:16
2
majidsaid987 :
mmmmmm
2026-07-24 19:45:41
0
dudukwe :
kwaanza huyu ndo rais wetu bwana watanganyika tunamuelewe sana vijana kukuelewa haitaji D2 2030 tutajuana
2026-07-24 17:04:28
6
Mandwanga land agency :
kweni Tunaserikali ngap nimetoka jela jana
2026-07-24 16:06:17
9
Hebrew T7 :
mbona kama tunachezewa
yaani sina hamani kabisaaa
2026-07-24 16:57:07
12
SHAMI :
mind game
2026-07-24 19:14:37
0
mwita kohe :
ww tunakutaka ugombee 2030 urais kamili sio tena makamu wa rais
2026-07-24 15:57:51
4
Kelvin Mbeyela :
Huyu mzee roho wa mungu anaongea ndani yake
2026-07-24 17:07:18
8
muddy zakuwani :
mm ni mzanzibar ila huyu jamaa namkubali sana wallahi
2026-07-24 17:48:41
4
KB2daar :
2026-07-24 16:37:52
2
ombeni :
sasa kam makamu wa rais na wewe unalalamika sisi tufanye nini sasa
2026-07-24 17:54:48
1
Apollo Ngosha!!!! :
Point
2026-07-24 16:40:31
0
Roni clasic hair and style 🌹 :
maneno kidogo vitendo vingi
2026-07-24 17:19:32
3
Alli Majezi :
Ukiwa muelewa utajua kwanini raisi alikuja ili katiba ipatikane nipigie nikuambie kwanini inakuaa huvi
2026-07-24 17:09:18
3
Bmbernadette :
AI au😁
2026-07-24 16:32:57
1
jumaothmani :
Mgombea wetu CCM 2030
2026-07-24 16:24:14
1
UNJU REAL ESTATE AGENCY :
Hivi magufuli yuko wapi ...
Nmetoka Jana Jela
2026-07-24 17:02:31
2
user9925818438245@abisaihosea :
Kwa kauli hii naona wata mtenga
2026-07-24 18:23:26
1
user6107237933704 :
asa mbona mmemfunga lisu kwakudai hii katiba hamuoni kua mmemuonea mbona asaivi mnaungana nae
2026-07-24 17:51:45
2
PDU Discover :
vzuri
2026-07-24 17:01:00
1
#Bald :
mtu wa maana kabis
2026-07-24 16:57:31
1
Mwombeki :
Makamu twambie haki za waliouliqa ndgu zao watapata haki lini ya kupa miilibya ndg zao??
2026-07-24 17:34:08
1
Nguvilason :
ila uwenda wakapitisha sheria raisi kuwa ana mda waukomo kukaa madarakani
2026-07-24 16:45:01
1
To see more videos from user @nyotaraystv, please go to the Tikwm
homepage.