@hiphop_neverdie73: Tega sikio tuliza ndonga upate madini na Fanani | msanii wa kwanza kufanya rap game kwa Tz #hiphopmusic #viralvideos #tiktokviral #viral_video #trendingvideo

HIPHOP NEVERDIE🇹🇿
HIPHOP NEVERDIE🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 12:33:59 GMT
12973
875
50
19

Music

Download

Comments

user4442748124120
Philip Raymond :
sugu alikuwa version ya ngapi? mbona sisi tunajua sugu ndio alifungua hii rap music. miaka ya 94 tumeanza kumsikia sugu
2026-07-26 08:19:50
7
user1923978000965
HAMIDU MPATE :
namimi najua ni SWALEH JABIR!
2026-07-30 10:43:35
0
user9826245374561
Emmanuel Masanja :
saleh yuko wapi
2026-07-24 19:20:43
1
alfredmlakitz
Alfred Mlaki Tz :
hii ni kweli kabisa ...sisi wakongwe tunafahamu aliitwa salehe Jabri
2026-07-28 08:37:21
2
ndasco0
Ndasco :
Nakumbuka mistari yake inasema, Niko, kwenye maiki ya umeme, nipo kwenye steji nayakata madebe, you aidonoo kusema mengine naona so. kitambo mbaya sana.
2026-08-02 19:44:10
0
eidukweli87
Eidukweli87 :
HOME BOY SWALEH JABIR KATUNDU BABA YAKE ALIWAH KUWA MWENYEKITI WA DAR YOUNG AFRICANS
2026-07-26 08:17:53
2
omarymboika
omarymboika :
maisha ya kweli na vitamin music 🇹🇿🇹🇿 1 🫡 🙏🇹🇿
2026-07-25 08:33:00
1
afroamedou
Afro :
yes huyu yupo sahihi
2026-07-25 23:31:27
2
abaidebrave
Brivu :
c kwamba hatu elewi ila lugha sanifu inayotumika na m2 ajuaye anacho kiwasilisha, respect 😇
2026-07-24 18:42:00
2
the.great.empiror
The Great Empiror :
walikiwa wanadraft nyimbo za nje!
2026-07-24 18:47:41
1
ghullam650
Ghullam :
kweli kabisa ww ndio umeongea ukweli wakati huo inaitwa swahili rap sio bongo flavour 🤝👊👊
2026-07-24 17:20:35
1
dgt4524
gtz :
Wakongwe wengi hasa ambao walianza kufuatilia mziki huu baada ya Sugu akiitwa Mr II alipotoa album wanamfahamu Sugu. lakin mjue kabla ya hapo wapo wengi walianza kujaribu jaribu na walikuw hawapati mapokeo mazuri kwa sababu huo mziki ulikuwa unaonekana kama ni uhuni tu toka USA. Humo ndo kina Saleh Jabir, Diplomatics, Saigon na wengne utawakuta. big up sana Fanani unaujua vzuri sana huu mziki ulikotoka. Kwa ufupi tu ni kwamba Huyu Fanani alikuwa anatisha kwa staili yake ya kurap akiwa na kundi la kina Prof J.
2026-07-29 03:03:36
1
dk..mdash
D_k :
zanzibar ilikuwa tayr watu wanafanya hip hop na kurecord mpa vdeo
2026-07-31 21:58:04
0
galaxyonetz
GALAXYONE :
kabisa wewe una ijua history vizur sana kaa hapo Kuna kina dj Kim
2026-07-31 15:39:14
0
ambelebravo
ambele bravo :
Diplomas sinza
2026-07-30 09:19:31
0
oldschooldude101
Oldschool DUD£🇹🇿🎤🎧🎻 :
Madini kaabisa
2026-07-29 06:45:12
0
rajachugastani
Madini Saini :
ni kama amemsahau sugu
2026-07-24 18:33:13
2
jah.ki10
Jah ki :
acheni kiki basi uyo Mzee wa hard blastaz anatafuta kiki
2026-07-26 18:52:03
1
majingeii0
veracity :
msanii wa kwanza Tz kwa hiki kizazi cha kuchorachora upope na mikono ni MTOTO WA DANDU,kutoka kanda ya ziwa Mwanza kwimba.Fuatilia utajua ni kwanini msukuma yupo mbele ya muda kwenye kila idara.
2026-07-28 09:18:40
2
sunny.tz7
ZOHAN 🎧🥶 :
👑👑👑
2026-07-24 12:46:43
1
alfredmlakitz
Alfred Mlaki Tz :
nakumbuka varse kitu kimenikaa moyoni, sasa naamua kukitoa mdomoni, ...hii ni hakika @Alfred Mlaki Tz
2026-07-28 08:39:09
0
harunimubaraka
boyska tz paa :
😇
2026-07-29 19:46:34
0
carbon.x.shaabaz
Plata o plomo :
@Plata o plomo:watu wamwanzo kurap Bongo 1. Saleh Jabir (kariakoo) 1993 2. kwanza unit 1994 3.wagumu weusi Asilia 1995 4. Sugu 1995 5. Hard blasters 1996 6. GWM 1996 7. Dj Yusuph 1996 8. Xplastaz 1996 9. Diplomatic 1997 10. Hardcore unit 1998
2026-07-24 22:46:29
8
To see more videos from user @hiphop_neverdie73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About