@eliaseshahu: Miaka inapita, lakini hekima ya Mwalimu Julius Nyerere bado inazungumza. Hotuba hii ya Dodoma, 1995, inafaa kusikilizwa na kila Mtanzania. #JuliusNyerere #HistoriaYaTanzania #Dodoma1995 #HotubaYaMwalimu#FYP
Kichwa kilikuwa kimetulia
alikuwa anaandika headings kwenye karatasi ndogo ,lkn hotuba inasimama.
penda Sana Mwl.
2026-08-12 08:46:23
2
daj :
hilo ulijua vip haukujua kuwa kikwete angekula nchi
2026-08-16 07:51:01
0
user9734723716512 :
ila huyu jamaaa alileta socialism. tukaumia na chawA, mateso na umaskin wa kupindikia
2026-07-24 20:28:56
0
Daniel :
hakika ni baba wataifa
2026-08-17 06:48:31
1
Allex John :
sema kiongozi wa kweli
2026-08-13 18:30:19
2
peoples favourite :
mtumieni kikwete hii hutuba
2026-08-14 15:40:49
0
boscotheodory2 :
siku hizi hata huyu mwanzilish mwenyewe wana mpuuzia tena kwa hali ya juu mno
2026-08-13 08:44:17
1
O_s_a_k_a_ :
Huyu ndiye alikuwa dira sahihi kwa Taifa letu la Tanzania.
2026-08-16 14:05:46
2
Joseph Morandi :
Rushwa Neno rushwa niJina linalowapendeza watawala,limeficha Uhalisia wa:Wizi,unyan'ganyi,ukandamizaji ,kudhalilisha utu,kutumia watu kimaslahi binafsi,ukupe,unyama,moyo wa shetani,moyo wa uchoyo,ulafi,nk uovu
ndo rushwa !
2026-08-19 20:01:45
0
Divie Queen :
🥰🥰Tunakupenda sana Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere. Unaendelea kufuata mausi yako. Mungu aipokee roho yako Mbinguni
2026-08-13 17:38:00
1
Babu j :
rest and péase baba wa taifa
2026-08-14 20:38:45
1
0684268556 :
magufuli jeshi wamaana sanamtetea haki zabi adamu
2026-08-20 07:17:29
0
urumur :
wa Tanzania mumemboteza huyo mwarimu na magufuri obeni mungu awapatie raisi a nayependa tanzania
2026-08-19 04:44:21
0
Seleman Rashid Mgweno :
marais bora walikuwa kuwapata tena kama hawa ila mungu mwenyewe alete rehma yake akili zao zilikuwa kufikilia wananchi nadhiki zao matatizoyao sihawa,
2026-08-18 14:14:25
1
yohananyenza :
mungu ampe pumziko la milele amina
2026-08-17 19:52:40
0
aloycelaiser775 :
yote manne ni ya msingi
2026-08-21 17:11:29
0
omarybarua836 :
sasa Cha moto wapinzani wanakiona kwa sababu ndiyo wanaokubalika kwa wananchi
2026-08-20 11:10:31
0
MAGWE :
ILA NYERERE ALITURUDISHA NYUMA MNO WATANZANIA, HAKUNA LA MAANA ALILOLIFANYA,KAZI NI KUONGEA TU NA KUTULETEA UJAMAA KATILI
2026-08-19 04:18:31
0
user9023106146914 :
Mambo ya MUNGU yanaishi
2026-08-21 01:04:09
0
PASKAL SIAME :
Tanzania tunaemdelea kuwa masikini chanzo ni uongozi mbovu hivi kweli bado Tanzania tunauza mahindi ghafi nje ya nchi??? hivi mnaona nini kuanzisha viwanda vya kusindika unga ili muuze unga nje ya nchi afu zile pumba zitumikekulisha mifugo kwa kuwauzia wafugaji Na ukifuatilia zaidi hizo pumba zinatengezeza mpaka pombe kali.
2026-08-10 12:26:09
0
To see more videos from user @eliaseshahu, please go to the Tikwm
homepage.