@kingmadiko:

kingmadiko👑
kingmadiko👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 12:58:21 GMT
27839
949
78
298

Music

Download

Comments

anifah3095
anifah :
finishing
2026-07-27 16:51:56
0
user1025737970043
m@mu👌 :
nataman niipost ila ataniacha😂😂
2026-07-24 18:49:22
4
user7479453848787
janeth Stuut :
bado namsubiria dalali yupo safarini
2026-07-27 14:11:48
4
princensmnyalu6
🔐 johary baby🦋 🔐 :
hata dalali mwenyewe wa viwanja bado yupo chuo
2026-07-27 08:44:57
2
kobah.jr
kobah jr :
bdo npo kwa wazaz
2026-07-27 05:45:14
1
mussadotto281
Mussa :
bado napanga njia ya kutafuta pesa ninunue kiwanja 😅😂🤣
2026-07-27 20:35:51
1
kashi_grandson180898
Kashi's grandson :
nipo kwenye linta ila kiwanja ni Cha jirani😂😂😂😂
2026-07-27 20:30:24
1
mariam.ltm
Mariam Ltm :
hata aridhi sina bado nadekezwa kwa wazazi😂😂😂😂😂
2026-07-27 10:03:58
1
qute.ray
Qute Ray💞 :
sierew yaani
2026-07-28 13:53:33
0
user3671552623573
dana :
hahahah🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-24 18:15:07
0
pabloescobar.365
Pablo Escobar :
kiwanja kimeuzwa mara mbili
2026-07-28 19:40:11
0
user5536667794385
ney💕 :
hela yakiwanja nimetoa zaka kwa mung
2026-07-28 16:34:46
0
prettyhappy032
FURAHA 💋 :
hata aridhi sina😂😂
2026-07-26 11:36:17
1
kyejo24
john🫆atection :
mim wameniambia nitoe nyumba yang kweny kiwanja chao 🥺🥺🥺
2026-07-28 16:16:48
0
japhet.mathias5
Japhet Mathias :
nimetoa hela ya kiwanja kumbe Cha watu ko Niko mahakamani
2026-07-28 15:42:54
0
user6145232817869
Lizzy :
bado natafuta kiwanja
2026-07-28 14:56:16
0
mrishohamisi1
mrisho Hamisi :
tuko mahakani na mwenye kiwanja
2026-07-28 12:37:46
0
janjoh3
Janjoh :
hii yangu hata hapo haipo, nahisi tulichimba msingi koona moja na ikaishia hapo
2026-07-26 19:03:17
1
enosreal406
UNIQUE JEWELRY :
Ndo nataka niite mashaidi nipate Kiwanja😟 Huenda ntakiuza Maan nasikia Ujenzi ni gharama😂
2026-07-25 12:56:50
3
houseboycom1
House boy :
mamb Bado magumu nasubir hati ya kiwanja
2026-07-28 09:52:58
0
pendomshana
user3433989850892 :
Niko naishia tayar ila hati miliki ziko 10 kwenye kiwanja kimoja 🤣🤣🤣majina tofauti tofauti 🤣 tuko mahakamani tunasubiri hukumu
2026-07-28 20:24:40
0
user70365650372974
said Ismael :
kumalizia fence
2026-07-28 11:02:48
0
cutelastbrn
cute lastbrn :
mm ndo natoka jela leo juu ya kesi ya kiwanja chenyewe🤣🤣
2026-07-28 11:48:47
0
mryammryam9480
mryammryam9480 :
Bado kupauwa ndo natafakali namalizaje🤣🤣
2026-07-28 10:06:18
0
reganronald543
Redizzo tichaa :
naona kama bado natafut kiwanj
2026-07-28 11:00:09
0
To see more videos from user @kingmadiko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About