muwe munahukumu na kuchafua ya kwenu msichafuwe watu hivi wakikupa hizo Pete ungalie humo ndani unaposema Kuna kitu halafu ukakikosa mbona ni aibu hivyo muna vyohukumu Mungu anawasikia na kuwaona Mimi nawapeda wacathoric hawana uongo wa kuwahukumu watu
2026-07-25 12:44:46
5
johnkassamo :
ni kosa kuwasema vibaya the annointed ones
2026-07-25 18:34:58
1
user2217923397797 :
kweli
2026-07-25 18:19:18
1
JUSTINE MUHETO :
@JUSTINE MUHETO:mimi ni mkristo lakin shekhe ancho kisema kinaweza kuwa cha ukweli utapeli umezidi kwenye ukiristo jamani mm naomba wakristo wote na wasio kuwa na dini tuungane na waisilam tumfuate Yesu kristo maana yeye ni kweli na uzima
2026-07-25 15:22:08
3
Lucy Lyuki :
Ni vizuri utuelezee dini ya kiislam tuekewe
2026-07-25 20:54:35
1
Fkonga :
tuambie hicho kitu
2026-07-25 15:51:09
0
#joroh prime👑 :
daah kwenye pete kuna dhahabu
2026-07-25 13:26:26
2
Witness Adrian 😘 :
huo ni uongo kuchafua dini za wat
2026-07-25 18:20:52
0
Rose Mcha :
kitu gani
2026-07-25 16:40:21
1
johnsonmwacha :
kwaiyo ndo kuna kitu
2026-07-25 06:03:06
0
musengekwetu :
hhhhhhhh
2026-07-24 20:19:16
3
felistermganda732 :
Huyu nae muda wake umefika,
2026-07-25 20:03:30
1
Chris Mwambus :
hicho kitu ulikiweka wewe
2026-07-25 12:37:58
1
Ramses :
kwanini uaangaika na ya wakatoliki wakati ya kwenu yamewashinda
2026-07-25 08:27:26
4
lyza wasima :
koma we
2026-07-25 07:46:30
2
jenipher :
sasa ulitaka iwe na quran au msalaba ni utambulisho wetu
2026-07-25 15:30:10
1
EYM7 :
Kwani ametaja kilichomo, au ni makasiriko tu🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 11:21:39
1
Mawe Stone :
kila dini ina ushezi wake
2026-07-25 07:26:33
0
bereal276 :
𝑵𝒂𝒘𝒆𝒛𝒂 𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒊𝒏
2026-07-24 17:52:10
2
~she~is~sarah 🥰 :
Mjuajiiiii uongo
2026-07-25 22:25:35
0
jacksparrow :
viongozi tuna waheshimu sana ila mambo ya kugombanisha watu muache maana hakuna bina damu mulio muumba umezaliwa uka jikuta ni muislamu na wengine wamezaliwa wakajikuta wakatoliki sasa wachen ujinga
2026-07-25 12:36:35
1
Herman Katabaruki :
Mnatafuta matusi bila sababu, ulitaka iwe na mwezi? Kuna kitu,kina kitu gani?
2026-07-25 17:01:58
0
Shmurda Man :
ye aliona wapi iyo pete kwa nyuma,
2026-07-25 13:06:57
1
Fundi Chenga :
huo sio msalaba!!! hio ni jumlisha! nilizima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha!
2026-07-25 17:11:13
1
To see more videos from user @tibaduakisomo1, please go to the Tikwm
homepage.