@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Wanawake Wote Ni Vyema Kama Mwanamke Kutobishana Na Mume Wako Kwa Sababu Mwanaume Ameumbwa Kutawala Hivyo Ukipaza Sauti Lazima Mwanaume Ataona Kama Apatiwi Heshima Anayostahili Mabishano Kati ya Mume Na Mke Ni Miongoni Mwa Vitu Vilivyochangia Kwa Kiasi Kikubwa Kuvunja Ndoa Nyingi Sana Katika Jamii Ya Sasa Kunapokua Na Kutoelewana Katika Nyumba Kati Ya Mke Na Mume Ni Chanzo Cha Kutengeneza Mitafuruko Ndani Ya Nyumba