@fikra._tips: #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #mwangaza💡 #fyp

FIKRA TIPS
FIKRA TIPS
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 13:35:24 GMT
114895
7217
316
304

Music

Download

Comments

saraphina.24
saraphina 24 :
Khalid wangu 😀
2026-08-06 15:13:32
0
yasintamichael19
yasintamichael19 :
kazi ya kuhemeana sitaki kwakwel
2026-07-24 16:26:54
112
sophiaunderson
Sophi♈️👏 :
Yaan kitu napenda kukumbatiwa😂
2026-07-24 19:59:55
75
mpangalaally
ALLY SAIDI MPANGALA :
Oscar anazungumzia msimu gan? Msimu wa baridi au wa Joto? 😂😂😂😂😂 Tuanzie hapa kwanza kesi inaweza ikazungumzika
2026-07-24 19:18:55
33
user7528426967716
Lilian isaya :
jmn .mi siwezi kwakwer yn mpk nikumbatiwe at kidogo ty nalal
2026-07-24 21:11:53
14
user7234081304414
user7234081304414 :
mimi ni mwanamke na sipendi kukumbatiwa napenda nilale nijiachie sitaki kukabwa
2026-07-27 06:29:47
17
matrida.john4
maty .og :
Yan mim kama wew jaman
2026-07-27 09:50:27
1
user8150083056351
Reena.de.laqruz :
ww ni mm kbs hata km nakupenda kias gn ikifikia time yakulala utanichukia bure mn hata kugeukiana2 cpend kupumuliana nam2
2026-07-25 11:20:14
10
kitangenyimasile
kinnah :
Waislam wenzengu tumswalie Mtume
2026-07-25 21:11:14
5
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Unatafuta comment gan mwenetu 😂🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 12:02:42
3
fatuma.tungu
Fatuma Tungu :
mi napenda basi tumekutana na mtu wangu tuna kabana tuu usiku kucha😂😂😂
2026-07-25 08:08:33
8
aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Hakuna kitu sipendi kama kukumbatiwa usiku nasikia kama nayongwa walai😂😂😂😂
2026-07-26 12:12:23
3
user6905791046510
Maestro :
Kuvingilisha😁
2026-07-24 19:10:11
7
deemomo317
Moureen momo :
yan uyu ni mumewangu kabisa napata shida cwez lala bila kuvungilishana 😂😂
2026-07-29 05:14:31
2
gloryshayo8
mama zur :
mm sipendi uo mchezo kwanza napenda kulala mwenyewe sitak kuskia jasho na mtu mwingine kabisa
2026-07-24 20:45:53
4
user1050262680937minah
minah :
mm nikumbatiwe tu
2026-07-24 18:54:25
9
leahdiomides
Leah Diomides :
🤣🤣 Adi nimetamani kulala jamani Mimi bila kukumbatiwa sipati usingizi🙌🙌
2026-07-25 13:56:19
4
user8269040299697
Caren Joo :
Anakuzuia usishike sm lazima akushikilie
2026-07-28 18:52:57
0
azorindege
Ndege Jr. :
Mimi bhana naachaga mtu nakumbatia Mto 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-24 19:41:00
0
pendomshana
user3433989850892 :
🤣🤣🤣mimi mwenyewe napenda nilale zangu na tumbo nikunje mguu mmoja daaa au bas
2026-07-28 07:58:15
2
auntmima02
Aunt Mimaa 🇹🇿 :
Kuna time nataka kukumbatiwa ila nikianza ndoto zangu za kishoziniga sitaki kuguswa ,,,,napenda kujiachia kama popo 😂😂😂😂
2026-07-25 19:57:43
1
magawaqueen
mrs...said og :
mm usiponkumbatia ni kess mahakam yenyew itashindwa kunihukum
2026-07-25 12:58:59
4
ayman_b_m
AYMAN Lastborn 🫶🙏🥰 :
Jmn mm nkisema naonekana waajabu yn kfup ctk kushea hata shuka 🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 06:49:53
0
aida..jms
aida :
ata mm n km oscar i need to rest sio kuvuta harufu ya mtu usiku kucha
2026-07-25 19:00:11
2
paulinawambura628
ppp :
me mwanamke lakini sipendi asee i need my space😂
2026-07-30 12:43:24
1
To see more videos from user @fikra._tips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About