@leymar_tz_urembo: Anaenda Kuanza Biashara Dodoma, Nkaona Tupeane Darasa Kdg🤝

Leymar_tz_urembo
Leymar_tz_urembo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 13:41:17 GMT
26360
1103
44
168

Music

Download

Comments

rebby_collection
Rebby_collection :
fact lazima ujue fixed cost 🤝
2026-07-25 03:44:28
1
user59687288623018
mangi :
kama biashara ni mpya dadaaaang ndio unatengeneza jina ndani ya miezi sta ya mwanzo
2026-07-25 07:47:08
0
jayblissson
jfk :
biashara ukiweka hesabu sana kama hivyo unapata stress kwa kweli Bora ufocus kwenye kuuza na marketing
2026-07-24 15:28:56
7
shooting307
shooting307 :
nimepata kitu MUNGU akubariki
2026-07-25 08:30:45
0
habibty.chonge
habibty chonge :
mungu akubariki sana
2026-07-25 06:26:23
0
engineer_j.masanja
Eng_Masanja :
kabsa
2026-07-25 05:44:14
0
noela.bayyo
Noela Bayyo :
hili swala Huwa Kuna mtu ntamwambia kila mwaka sahv ndo kaanza kunielewa inafika mda wa Kodi huna Hela dukn unatoa ya mfukoni kulipa Kodi biashara inahitaji ijiendeshe hatakam nindogo
2026-07-25 05:19:42
0
catarina.itambu
Catarina itambu :
nimekuelewa san
2026-07-25 05:33:53
0
richardwalinot
baf :
wateja hao
2026-07-25 03:59:41
0
adamahmad1491
mimi sasa :
ukisikia mfanya biashara anakuambia "ukiniambia nakuja tutaenda wote turudi wote" umuelewe tu siku anategemea itaanzia kwako 😆😆😆
2026-07-25 05:42:00
0
doricia.ndahani
Doricia Ndahani :
Nondo🙏
2026-07-24 20:18:46
1
karinga91
mussakayunikaringa91 :
hii ntamuonesha wife wangu nzuri sana☺️
2026-07-25 05:36:07
0
jmarandu_1209
jmarandu :
asanteh sanaa madam i got something nikasnze na yangu nijifanyie ukqguzi mwenyewe
2026-07-25 04:26:53
0
og_generati0n
OG GENERATION :
Umetisha sana dada,safi sana. Huo ndio uhalisia wa biashara. Wale wakufanya biashara kwa kujifikilisha hapo ndipo wanapofeli
2026-07-25 02:22:24
0
sekela.outfits
Sekela outfits :
Mungu kaniletea hii makusudi asante dada ubarikiwe nimejifunza kitu hapo🥰
2026-07-24 20:04:37
0
user71484021633705
reneeraph :
Nimejifunza kitu na mm dada ❤️❤️
2026-07-24 13:58:21
0
catarina.itambu
Catarina itambu :
hakika mungu akubariki sana
2026-07-25 05:33:34
1
mashop_beauty1
Mashop_beauty1 :
Nimejifunza
2026-07-24 19:07:22
0
user961275082792
Monica💝 :
mepata kitu apa mmhhh biashara 🙆
2026-07-24 18:38:08
0
conrad.graphics_
Conrad Graphics_ :
maelezo yamenyoka vizuri 👏👏
2026-07-24 19:42:55
0
jesca8642
jesca :
Dada me nauza Duka La chakuLa nisaidie nifanyaje
2026-07-25 08:31:00
0
hameedahameeda10
hameedahameeda25 :
🙏🙏🙏🙏🙏mung nisaidie namm nifungue biashara yang namm
2026-07-24 19:00:06
0
user6324167717141
Sasha baby :
nguo nzur
2026-07-24 19:19:26
0
agytheboss
officialagnexAgnes :
naomba kujifunza na mimi
2026-07-24 15:28:46
0
To see more videos from user @leymar_tz_urembo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About