@gift.kaaya78: Zaburi 2:8🥰🥰🥰msiseme sikuwaambia 🙌🏽#tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights2026

G.i.f.t💌
G.i.f.t💌
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 13:42:47 GMT
44862
3367
49
135

Music

Download

Comments

faridajoram3
Farida joram :
Zaburi 2:8 Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako. Ask of me, and I shall give thee the heathen for thine inheritance, and the uttermost parts of the earth for thy possession.
2026-07-24 18:09:30
278
user3621984253340
janethjoseph :
nilikuwa cijui ubarikiwe sana
2026-07-25 08:40:53
12
tedykisenge199400
tedykisenge965 :
Isaya 60:11 malango yako yatakuwa wazi Daima hayatafungwa mchana Wala usiku ili watu wa mataifa wapate kukuletea utajiri
2026-07-25 20:36:06
56
hypinedelizzy
hypinedelizzy :
Fedha ni Mali yangu ,na dhahabu ni Mali yangu,asema Bwana wa majeshi Hagai 2;8🔥🔥
2026-08-02 15:35:06
4
farajajonas792
Faraja Jonas :
Amen
2026-07-25 14:05:40
3
rachelnahuja551
mama.boys :
zaburi 1:3
2026-07-28 19:33:01
1
abigal.yalaaa
Abigal🥰yalaa💕 :
2026-07-25 16:46:14
1
lucykidoti01
lucy kidotii :
nipe huo mstar to niishi nayo
2026-07-25 13:26:53
5
tee12948
Tee :
1mambo ya nyakati 4:10
2026-07-25 17:42:11
1
user81020481217264
tgjane💞 :
Zaburi2:8 🥹🙌
2026-07-26 07:52:20
1
user60080462
user600804 :
Emen
2026-07-25 23:12:26
1
jscollections5
JSCollection07 :
zaburi 23 & Isaya 60:11
2026-07-25 17:45:28
3
lee_gal_tz
@LEE_GAL_TZ_ :
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu WAFILIPI 4:13
2026-07-25 17:34:20
5
mamacarotz
mamacarotz :
amenii
2026-07-25 10:32:55
2
user16138007288317
Madam Ngailo :
Amen
2026-07-26 04:44:39
1
rehema.mpanda8
Rehema Mpanda :
Ameen🙏🙏
2026-07-25 15:26:55
1
uiso.barikij
Toncsmation Enginearing Co Ltd :
2026-07-25 07:45:58
3
fatma.beauty32
fatma beauty3 :
Bibi angu jamani 🥰🥰nimemkumbuka sana 🥺
2026-07-24 18:25:37
3
juja1271
juja :
kumbukimbu la torati 28 :13-16
2026-07-25 19:22:34
1
mindlessgirl28
28th/ April Taurus ♉️ :
2026-07-25 08:08:14
1
anjelangole
@🩵. :
Isaya 60 :11
2026-07-25 16:25:27
1
veronicatiktok.comveron0
thesamebolt_byridah :
tena chapu kwa haraka nina ushuhuda naninaomba vipi kuanzia hapo mimi naomba pesa kama ilivyo bila kupepesa macho mwali
2026-08-24 08:46:20
0
peafowl521
Peafowl🦚 :
comment section mnasoma bible for sure
2026-07-29 06:15:57
1
keku_cosmetics
keku_cosmetics :
Zaburi 23:1:6
2026-07-26 06:52:54
0
salamae91
E_salama :
bwana ni mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu nipe hazina za gizani na mali zilizofichwa😊
2026-07-28 12:07:19
0
To see more videos from user @gift.kaaya78, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About