natamani sana niwe rafiki yako ww uwe Dada yangu wa kiroho
2026-07-24 20:58:50
0
Irene Masaki :
barikiwa sawa,unaimba vizurii
2026-07-25 00:58:03
0
Kepha :
ukiona comment znakuwa nyingi kweny video zako ... uwe unajitahidi ata kujibu kadhaa.. sio unapiga kmyaa km vile huzioni. inawapa watu moyo w kuzidi kukufatilia. ma ministers hapo ndipo mnapochomaga.
2026-07-25 21:23:45
0
Jackline Jastine :
Amen...Yesu na atufanye tuzidi kuwa Vielelezo na Baraka🥰
2026-07-25 04:41:21
0
Vaileth Majumba :
uko vizuri dada
2026-07-25 03:33:39
0
@princess najma14 :
Barikiwa sana dear Me nakupendaa❤️
2026-07-25 08:51:37
0
To see more videos from user @janethnehemia1, please go to the Tikwm
homepage.