@kingbrother2005: "Kisa mtu mmoja mwenye roho mbaya anafanya Lissu akose HAKI zake za kesi yake ikose muelekeo na kuendelea kuteseka kisa mtu mmoja ni mambo ya kijinga sana"Nchimbi. Je ni kweli haya anaongea kutoka Moyoni kwake au ni unafiki tu? Je kwanini yeye hasitoe amri ya Lissu kuachiwa na yeye ana cheo hiko nani makamu wa Rais? CHANGIA SASA BARAZA KUU LA UMMA JINA: CHADEMA NAMBA: 0744446969 FOLLOW ME COMMENT ME SHARE ME LIKE ME