@kichwa_ndimu: Tuone na huku😂😂 #tanzaniantiktok🇹🇿 #1000000views #followers➕ #viralvideo #viraltiktok

kichwa ndimu
kichwa ndimu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 14:15:06 GMT
303988
13998
2304
738

Music

Download

Comments

monicachenga288
Moniyker_chenga🇹🇿🇴🇲 :
ikifika zamu ya wanawake mniite nije nisimamishe nchi😂😂😂😂
2026-07-25 07:48:00
1995
lapurga065
SHIBOUB☎️ :
Kuna dada namtafuta huku TikTok alikuja ghetto akaniibia WIFI yangu🥺
2026-07-25 08:07:28
1000
iam_.mgaya
juniorfurniture :
Kuna jamaa alikuja ofisin kwangu akaniulliza kitanda na bedside zake Bei gan nikamwambia 800k akanipaganga atakuja na demu wake uyo mpenzi wake anataka kitanda akijanaye tu mim niseme kitanda Bei yake 1.5 million kweli akaja mi nikasema Ivo Manzi akalia akadai ana million moja na laki tatu mi nikagoma kupunguza mshikaji akadakia usijar beby mi nitakuongezea 200k upate kitanda msichana Ali furahi na akanipa iyo 1.3 m nianze KAZI jamaa badae akaludi akachukua ganji yake laki 5 akanipa laki moja kwajiri ya zambi yake akaondoka na laki 4 pamoja na credit Kwa Manzi yake ko Manzi anajuwa amesaidiwa kumbe 😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-24 22:04:17
1078
henrymbuna
umaskini sio sifa :
kumwambia aje Getto kumbe nimehama
2026-07-24 17:00:43
576
user7330117171176
s muuh tz 👣 :
Tiktok wamebadilisha LIKE zimekuwa nyeusi na hamsemi🤣🤣🤣
2026-07-25 14:24:13
1965
burudoza1
one kill one cover :
sijawahi kumfanyia ubaya mwanamke coz nikama mama/dada.
2026-07-27 13:44:19
154
arsenal26winner
￴ ￴￴￴￴￴ ￴￴ ￴ ￴￴￴￴￴ ￴ ￴￴￴￴￴ ￴ :
Niliheart break kipofu nikamrudia na sauti nyingine.
2026-07-26 15:23:16
93
user1090311469476
Erick msafi :
wakristo wenzang tumsifu yesu kristo 🙏🙏🙏🙏
2026-07-26 12:49:18
180
bw_cheklas
Abdul Latifu315 :
nimetafuta comment ya alokula familia nzima ila hakuna😂😂😂 wanaume bado ni wema sana😅😅
2026-07-25 06:53:29
534
dagyempire
D A G Y :
SIJAWAH FANYA UGAIDI ILA NAFANYIWAGA TU😁
2026-07-25 07:06:29
156
kitangenyimasile
kinnah :
waislam wenzengu tumswalie Mtume
2026-07-26 05:26:18
238
alwatanchui
Al Watan Chui :
𝑁𝑖𝑡𝑎𝑟𝑢𝑑𝑖 𝐾𝑢𝑤𝑎𝑠𝑖𝑚𝑢𝑙𝑖𝑎 𝑇𝑎𝑟𝑒ℎ𝑒 30/9/2026 🙏😆
2026-07-26 05:46:00
1040
romic122205
romic ❤️ :
nimegundua wanaume wapole sana🤣🤣
2026-07-25 06:41:44
72
salmakipande457
salma :
tuna view profile kutokana na uzito wa comment😁😁😁
2026-07-25 10:45:17
63
letyxo155
letyxo 💫 :
nilikuwa offline ila imenibidi niwashe data kusoma coment😳😳
2026-07-27 07:36:35
17
_.bambi._09
.BAMBI.🌿 :
Nakumbuka mwaka 2016 niliitwa na bibi yangu kijijini DODOMA aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-07-27 18:15:39
6
troublemaker8692
.....🌸Ollie💃🍫.... :
vipenz 🥹 amkeni tuwaogope wanaume 😩 Kuna comment imeniogipesha
2026-07-25 06:32:07
479
danielpaul83
danielpaul72 :
shida tukitoa ushuhuda wanakuja na maneno ya laana😅😅😅
2026-07-25 07:33:31
154
_faewin
FaeWin 🧚‍♀️👑🏹 :
Nyie hamjui matukio mnajua ku cheat tu ikifika wadada mnitagi pleas😄😄😄😄
2026-07-25 18:08:14
84
official_nipher01
✨Roxiepop_46jr🦋♒️❤️ :
WAKAKA WA COMMENT SECTION WOTE NAMUOMBA MUNGU MABINTI ZENU WAJE KUPATA WANAUME KAMA NYIE. AMEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-25 07:51:16
93
habykitumbu
habykitumbu :
Jirani yangu ananiuliza mbn unapenda hyo nyimbo kumbe nasoma comment 😁😁😁
2026-07-27 13:23:44
9
__rammy_babie
𝐑𝐚𝐝𝐡𝐢_𝐞𝐫🌸 :
Hamjachangamka bn😂😂😂😂😂
2026-07-25 05:10:27
47
To see more videos from user @kichwa_ndimu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About