@bbcnewsswahili: Licha ya kujieleza kama jumuiya ya maadili, urafiki na huduma kwa jamii, Freemasons wameendelea kuibua mijadala kutokana na baadhi ya taratibu zao kufanyika kwa faragha, jambo linalochochea udadisi kuhusu shughuli zao za ndani Mwandishi wa BBC @ahmedbahajj na taarifa zaidi #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #freemasons

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 09:00:00 GMT
24855
1482
48
66

Music

Download

Comments

young.kid4534
young kid :
Next utuletee namna ya kujiunga please 🙏
2026-07-25 10:59:59
18
bulaya0
Wissa :
Bora wanachama wengi wao ni wazungu, tungekuwemo wa Swahili kundi hili bora kingeshadoda kama CCM ilivyo ya hovyo
2026-07-25 18:30:45
1
emilyokoyesa382
Nyamboya🤴 :
Nikikua siamini kuhusu freemason ila mbk BBC wanaongelea nimeamini
2026-07-25 10:32:39
8
francissmagwe
MR. FIRST'BORN :
nibonyeze 🔗 link gan plz tag link nijiunge nifundishwe
2026-07-25 20:34:27
0
iiirrrllh
$$$%%% :
iyo ni kweli kabisa.
2026-07-26 09:35:18
0
kalabamchawi96
kalaba :
Next lete link mkuu
2026-07-25 17:37:55
1
manondo12
cash money 🤑 💸 :
taarifa haipo sawa, upande wao wanasemaje? hatujawasikia tunaona picha tu, we mwandishi, nenda walipo na tuwasikie wanasemaje
2026-07-25 16:01:11
3
ngolany_a_b12
ngolany_a_b12 :
"loji"
2026-07-27 12:17:42
0
www.tiktok.combbj
BBJ :
mmefika hadi huku
2026-07-25 13:04:35
1
mr.nutritioncenter
NUTRITION CENTER :
ukiingia ndo utajua vzr achana na taarifa za media🤣🤣
2026-07-25 13:54:51
1
between2s
Just u alone :
Sjaelewaaa
2026-07-25 21:55:10
0
juma.de.zombies
De Zombies :
Ebu tupe link haraka sana
2026-07-26 21:53:49
0
sameerthani
Sameer :
wapo wapi
2026-07-25 18:29:36
0
kabbalist
Sangevu :
Hahahaahahh
2026-07-26 06:42:32
0
king.chaporah
king chaporah :
najiungaje sasa
2026-07-25 18:44:18
0
ismailyheart
#joroh prime👑 :
siwez nikajiunga freemason mpaka kufa hiki ni kiapo kati yangu na mungu
2026-07-26 07:11:35
0
moonlight31844
Moonlight :
This is so true. Watu wengi especially wasio na akili au upeo wa kufikiri ndio hawajui hii. Wakati watu wanasonga mbele wao wanajazana ujinga juu ya vitu wasivyovijua.
2026-07-25 10:45:05
0
mafioso7214
mafioso :
kweli
2026-07-25 10:27:18
0
user4024948758200
user4024948758200 :
aise☺️
2026-07-30 17:17:54
0
sundaywerner1
Sunday Werner :
2026-07-25 11:10:55
0
talal.mohammed17
ARBABU :
Kuna jamaa yupo buguruni anaunga watu Free Mason eti😂😂😂
2026-07-25 15:39:35
1
ashtonfrostone
Ashton_Frost_One :
Mimi ni ushuhuda 😁😁
2026-07-25 15:35:59
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About