@dr.rich28: Kumbe sukari inasisimua kichwa chako (dopamine) kwa stili ile ile inayofanya ushindwe kuacha vitu vingine vya hatari! 👇 Wewe una mtazamo gani kuhusu hili? Drop maoni yako kwenye comments! Na kama unahitaji mwongozo au bidhaa salama za afya zitakazokusaidia kudhibiti afya na ustawi wako, wasiliana nasi sasa tukupatie suluhisho sahihi.#viral #trendingreels #fyp #afyaprime #tiktotanzania🇹🇿