@babu.jay.midoli: Asante sana kwa kutuchagua na kutuamini kuwa sehemu ya siku yako ya kipekee #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #babujaymidoli #birthdaysuprise #midoli
happy birthday toto and get well soon mwenyezi mungu akuponye toto i love you amen🙏🙏🙏❤️
2026-07-25 06:23:17
1
people :
Happy birthday mtt mzurii
2026-07-25 14:58:34
0
hemedilisani :
Dogo anaitaman furaha ila afya inatoa katika mood Mungu ampe unafuu apone
2026-07-25 07:11:44
19
Ridmaaa🌹 :
Dah nimekumbuka 2018 Nimeteseka sana muhimbili Na mtoto mm uwii mungu mlaze mahal pema mwanangu haikua rizk 🥲🥲🥲 Katoto Allah akuponye penda chana mwanang🥰🥰🥰🥰
2026-07-25 06:14:03
33
user7962837439187 :
had Nimelia jamani
2026-07-25 03:14:31
2
Victoria Kiondo :
waooooo
2026-07-25 09:00:41
1
La_Saba_B✝️😂 :
Mungu ampe afya njema zaidi🤝🤝
2026-07-24 15:44:04
33
Fyne rene🥰 :
nimejikuta hadi nalia jamani.Ee Mwenyezi Mungu ukabariki dawa wanazotumia zikaende kufanya kazi vizuri ziwaponye
2026-07-24 18:37:58
35
Sweety11 :
May God give them all good health
2026-07-24 19:49:11
0
Lighty Ongala :
nmelia jaman..... happy birthday mtoto Mzuri Mungu akuponye haraka mtoto 🙏🙏
2026-07-25 08:23:59
4
mimiryan cliff :
Allah ampe shufaa inshaallah
2026-07-24 17:23:00
5
Aisha Juma :
gharama ya kukodi kwa siku ni kiasi gani?
2026-07-24 17:49:53
6
Tundayoungsamir 10 :
anaumwa nini uyo mtoto
2026-07-24 20:22:57
1
Sharifa Ramadhani :
Allah akupe shufaa
2026-07-25 06:43:28
2
Dp World Cosmetics 2More :
Mungu awaponye watoto hawa
2026-07-25 11:25:16
1
sityqeena🌹 :
wagonjwa wenzie nao pia wamefurahi
2026-07-25 07:41:53
2
@mery :
Mungu akuponye 🥰
2026-07-25 08:43:24
1
Ayshaa :
Allah amjalie Afya tele
2026-07-25 09:27:11
1
neemasanga147g@mail :
kweli amepata faraja 🥰
2026-07-25 06:06:29
2
mariesome14 :
Wooow this is great 👏👏👏
2026-07-24 18:35:55
3
Leila_Sasha Fashion :
Mwenyezi Mungu amponye birthday boy na wenzie🙏🙏
2026-07-25 08:27:16
3
Official waa :
watoto wamefurahi Sana 🥰🥰mpaka nimependa japo wanaumwa lkn wamepata matumaini ya kupona Allah awaponye insha'Allah 🥰🫶
2026-07-25 09:52:00
4
Rajwa🌹 :
Mungu awaponye watoto wetu.
2026-07-25 07:58:20
2
Ayayae girl :
Happy birthday kakaaaa,mwenyezi mungu akusaidie apone
2026-07-25 10:09:54
1
To see more videos from user @babu.jay.midoli, please go to the Tikwm
homepage.