Wanaume ishini vizuri na wake zenu narudia ishini vizuri na wake zenu
2026-07-24 20:33:57
331
Nicole Man Bené :
amuache
2026-07-25 18:42:07
0
ANSILA ♍️ :
Huyo hakumpenda tangu mwanzo mwanaume akikupenda atakupenda hata uweje
2026-07-25 05:23:15
129
Najma hussein :
Na mm nitamwambia ĥajikaze arudi kama zamani ili awe mume kamili😁😁😁
2026-07-24 17:37:15
167
123456 :
amuache
2026-07-25 09:10:58
0
khadeyzer :
amuache
2026-07-25 09:40:30
0
I'm lizy🦋💞 :
WANAUME NDO WANATUFANYAGA TUBADILIKE NA SISIII
2026-07-25 09:37:39
45
🎀🤍 :
Mmmhh Fear Men🥹
2026-07-24 16:13:57
1
sarah🙏🙏 :
yamenikuta hayo tena nimeambiwa juzi tu hayo mambo🥺
2026-07-24 17:18:24
68
missmamba_tz :
I would have left him too 🤚
2026-07-25 05:23:55
8
hajraah :
karma is real
2026-07-24 23:15:57
1
creyvanny :
siwezi napeleka kwao wauguze
2026-07-24 17:08:17
35
Fadhil Khatib :
awe nae malipo kwa mwenyezi mungu inshaallah
2026-07-24 17:03:05
27
mrs rashidi og :
mume nimume tyu amvimilie mung amfanyie wepesi inshallah
2026-07-25 02:39:57
11
Double eniy💞💞 :
Mbona sion comment za wanaume
2026-07-25 06:01:45
11
Marth Bebe :
mimi ni mjamzito miez ya mwishoni kbs lakin cha ajabu mme wangu amebadilika analala nnje na amepata mwanamke mmasai sjajua kampa nini mme wangu hajawah kuwa hiv ananikataaa kisa huyo mwanamke sielew cha kufanya naomben mnishauri
2026-07-25 12:31:44
8
Lone Wolf..💀 :
duuh malipo ni hapa hapa duniani kwa mungu mahesabu tuh😢🥺
2026-07-24 16:15:16
21
Doreen DRM :
Story nimeisikia na inahuzunisha sana lakini hapa🥰🙌
2026-07-25 06:02:41
28
Vee_🌸 :
Me hapana jaman huyo mwanaume angenisameh tu😂😂😏
2026-07-24 21:27:44
9
naah :
Ndugu zake wajeee kumsaidia tuuuu 🤧🤧🤧
2026-07-24 19:01:57
8
firdous :
bora yy kamwambia sababu, kuna hawa wa kukuuwa kwa kunyamaza kimya kwa dharau
2026-07-24 17:08:27
12
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.