@jotterbrain2: Mwijaku ameibuka tena kupitia video mpya akieleza kuwa kauli zake hazimaanishi kuwa anamuonea wivu Lava Lava. Amesema watu wasitafsiri vibaya alichokizungumza na kusisitiza kuwa hana chuki wala wivu dhidi ya msanii huyo. Wewe una maoni gani kuhusu kauli ya Mwijaku?#fyppppppppppppppppppppppp #viralvideo #trending #tanzania

Wakala Msomali
Wakala Msomali
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 16:16:16 GMT
48479
2250
52
26

Music

Download

Comments

mahenge145
ofard mahenge🫢 :
acha wiv broo
2026-07-26 04:54:55
7
umeme9587811576525
🫵kontawa🦺🛣️ :
we upoje akifanikiwa unasema asipo fanikiwa unasema mi nachoka🚶
2026-07-25 09:20:47
14
user2690834265805
chief :
tutakuomba namba mwijaku
2026-07-26 20:22:21
1
junior9379224537791
junior777 :
hahaha ila mwijaku🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 15:01:31
1
emmanueledward697
Dailan tz :
shida nn Kwan kaka
2026-07-26 19:15:36
1
crownfrank2
crown frank🎤👑 :
ili ujue nini akiku onyesha
2026-07-24 20:28:05
1
dollychriss
Mrs.m✨️✅️ :
ila mwijaku ety nyimbo zilishapitwa na wakatii🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-07-26 20:50:00
1
brevobike
brevobike :
wivu uo
2026-07-26 12:09:36
1
user561151682902
💕💕 Baby Jerry 💫💫🧚🧚🔥🔥 :
Kwan kakwambia anafany kazi ya usanii 2 au ndo wivu
2026-09-08 22:08:16
2
yssaid606
Ys Said :
iv nwijaku unaeza ukaniokotesha na Mimi hatavmilion tu mkuu
2026-07-24 19:03:40
4
imluccy0
Luccy💞💮🇫🇰 :
mtu akifanikiwa tyuu maneno yanakua maneno jmn kheeeeeeeeee tunachok
2026-07-25 09:25:27
4
trechy78
Miss de cute :
KO unataka kusemaje
2026-09-02 08:22:36
1
samira.isihaka
sameera💔 :
kwahy kapata wapi 😅
2026-07-25 10:01:30
1
mugalatayok
tomas lak :
msee habari
2026-07-27 11:11:20
1
tiger_bond_90
UNIVERSALLY :
jamani Yani sisi watanzania Sijui tupoje Yani tuchoki kuongeleana eeeeh nachoka Mimi
2026-07-25 13:16:56
3
user4027578125312
Sabila 😘 :
astaghfirullah
2026-07-25 15:53:09
0
jnundu
King of love for promise 🌹🌹 :
upo sahihi
2026-07-26 08:20:22
0
videlis.okwiri
videlis okwiri :
hiyo ni wivu
2026-07-26 11:31:12
1
user2521011035947
jenifar johnson :
lakin mbona nawewe una gholofa mfanikiwe nyie wakifanikiwa wengine vina wawasha punguzeni wivu
2026-07-28 07:34:16
1
aaronmbokanidango
Aaronmbokani Dangoo :
mwijaku anaweza kua mshirikina hapendi maendeleo ya wengine
2026-07-24 22:09:17
3
abdallah.ibrahim525
official@ ndiga desgner :
Mimi ndie fundi nilie mfanyia wayaringi mwijaku unaferi kaka
2026-07-24 22:46:52
3
victoris8003326155
victor wa Argwings🥰🥰 :
kumbe alikuwa anaimba ww😂😂
2026-08-25 16:42:41
0
am_audo1
am_audo🎤🇹🇿 :
maisha yana siri sana aisee huwezi jua na sio kila atakalofanya akwambie au atangaze kama nyie😏😏
2026-09-05 10:38:07
0
mudekhanbrand
@Official Muu brand :
Mwijaku wengine c machawa
2026-07-25 02:06:46
0
To see more videos from user @jotterbrain2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About