najuwa wanipenda ila naombaunisamee mim sjuhitaji kwasasa
2026-07-24 17:18:46
3
💎👑 KING FOCUS GONTAR💎💎 :
mi nilikuwa kila nikimwambiha nakupenda Huwa ananiambh kumekucha Yani apo ndo nachokagah kabisa 😂
2026-07-28 06:29:43
2
smoker zone :
sitakufany Kam daraja au njia ya maumiv niliy pitia mwanz
2026-07-24 17:53:48
4
𝗠𝗥 𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡👁 :
ME:Tulikuwa na ka ugomvi tu akasema kwani wewe ushawahi kunifanyia nini..? unajua nini mimi nilikuwa nafosi sana kwajili yake ila ndo anakasema vile ah..sikujiuliza mara mbili nikamblock📵
2026-07-25 21:09:23
5
🦋mysticSu🦋 :
uongo wak ndo manen ambayo sito kuja kuyasahu hata sku mja daaah inaniumz mpak ss nikikumbuk jmn 🥺🥺😭😭😭
2026-07-25 20:07:32
1
Ram young :
alie pitia ndo anajua maumivu yake hayafai ata kuadisia
2026-07-27 14:07:29
1
Mr. kipozeo🤲 :
nais nilikosea kukupenda
2026-07-24 17:42:36
1
Man Dosinga :
nikiachwa kwa kile ambacho sina huwa silaumu sana, ukiambiwa huna pesa na huna kwel ndo sababu ya kuachwa it's okay never mind yuko sawa kukuacha. alisema niache kweli mtu ako na gari na ela 😂😂😂💔💔.
2026-07-24 18:19:45
4
Francis Gidion :
m naona tuachanetu maana nimepata mwingine;; wew nimekuchoka
2026-07-24 16:32:48
0
user7358508394684 :
aliniambia mengi sijui kama nitasahau forever and forever
2026-07-25 06:25:30
1
㊗BLOONY ZONEY🧢 :
najua unanipenda ila me sikupendi
2026-07-24 17:08:44
1
@Allen bizo tz "@ :
sijui tuko kwenye mahusiano yanayo husiana nanini
2026-07-24 18:39:56
2
chioma♥️♥️ :
nipo na mamtu unatak umsalimie 💔🥺🥺
2026-07-24 17:44:50
0
Rafili Aley :
nipo na mtu wangu kwa Sasa sikutaki Tena ila nikimwambia tuonane anakuja na cm yangu anapokea vzur ila soda nikimwambia turudiane anasima ananichkia sana
2026-08-07 17:11:22
1
sniper :
nipe Moja na Mimi maana kunamtu ninampenda lakini ananizingua sana
2026-07-24 16:31:57
0
JAY BUNDUKI :
kakosea unamwambia niombe msamaha yeye anajb kama vp ukiona cha nn wenzako wanawaza watakipata lini niliumia nikawa mdogo gafra nashukulu mungu sikua na nguvu ya kumuacha aliniacha yeye alienda mbali na mm myezi miwili asaivi ata akuniagaga
2026-08-18 19:23:07
0
official 💝 amyrah🦋🦋 :
mimi niliambiwa nakuchukia kutoka moyoni,Hadi ikafikia wakati nikawa sitaki kumuacha akaniletea mwanamke mwengine wakalala nae chumbani ili niondk🥹😭
2026-08-22 17:05:43
0
rukya sheb :
😭😭nmeshidwa mpaka kuongea kwakweri siwezi hinauma sn😭😭
2026-08-22 17:54:33
0
Abedy mov :
tumesha yazoea maumivu ya mapenzi tujuwane 🥺🥺
2026-08-20 21:43:30
3
Nazarine Mkumbo :
i love you
2026-08-20 20:55:41
0
rumaytha :
aliniamby tupo wawili hawez kutuach sote
2026-08-20 17:53:56
0
DODO :
pole
2026-08-21 07:42:00
0
ommy sniper :
kwan umenioa🙄🙄🙄
2026-07-24 16:35:27
0
To see more videos from user @mrvision40, please go to the Tikwm
homepage.