@honaminamnyazi: Leo , nimeweza kuungana na wakaazi wa Malindi kutoa pole za dhati kwa familia ya Hadija Sheban kufuatia msiba wa kumpoteza mama yao mpendwa. Mwenyezi Mungu amrehemu mama, amsamehe madhambi yake na aweze kupatia familia yote subira, nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji'un.
SubhanaAllah💔💔💔💔The moma was always smiling🥹🥹Allah Yarhamha🤲💔
2026-07-24 18:59:24
2
MUTTAH|Travel+Lifestyle :
Oh Dida needed that hug 💔🥺 may Allah grant her sabr! ❤️
2026-07-24 21:44:42
0
Michy🌿 :
Kufiwaaa😭😭😭 kuskie kwa mwenzako tu
2026-07-24 18:01:00
59
Bismilah 🫶🏻 :
I know how it feels, I miss my mother everyday. Allah awarehemu wazazi wetu
2026-07-24 22:08:58
0
Mannue Manuue :
sorry to the family
2026-07-24 17:14:31
0
unknown Nikaby🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭 :
Inna lillahi wa Inna ileyhi rajioon
2026-07-24 21:08:50
0
@Jk :
pole kwa family 😭
2026-07-24 18:28:44
0
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
mungu atawapa subra hadija na family yake 😩😩
2026-07-24 19:21:36
7
Haytham “The Car Don” Albusaid :
Inna Lillah Wainna ileihi Raajiun 🙏😭
2026-07-24 17:17:03
16
nargis collection :
innah lillahi waina ilehy usiambiwe kuondokewa niuchungu tena mama nizaidi ALLAH ampe subra ndugu yetu ameen
2026-07-24 18:21:18
11
Moana Baya :
Pole sana dada allah akutie nguvu🤲
2026-07-24 17:51:08
3
MAMA SITI :
mungu alikua na sababu zake kwann sikuzika mama Alhamdulillah Alhamdulillah
2026-07-24 19:58:43
3
@Mandymcute💫 :
Mungu awatie nguvu familia kwa kipindi hiki kigumu😢,Mbele yetu nyuma yake🙏
2026-07-24 16:53:37
6
aryana Breezy :
Huu uchungu wakuondokewa n mama uskie tu kwa mtu alhamdulillah🥹😭
2026-07-24 18:59:24
3
Wolf 🐺🧎🏽♂️ :
Inna lillahi wainna ilayhi raajiun
2026-07-24 17:41:20
2
️ :
Innalillahi waina ileihi rajiun.Dida alimpenda mamake.Alimhidumia Mashallah kwa kila hali hakukata tamaa na kuumwa kwa mamake.Allah ailaze roho yake mahali pema palipo na waja wema peponi🤲
2026-07-24 19:24:10
0
FOREVER YOUNG 🎈 :
poleni xna kwa familia tuwe na subra soteni
2026-07-24 18:37:31
2
Nai💞 :
mama ni uchungu jamani 🥺
2026-07-24 18:59:11
1
Halwa🌟💫💕 :
kufiwa kuskie Kwa mwenzio,pole Sana Dida Allah akupe subra dear
2026-07-24 19:53:04
1
sinyoritaganito :
poleni Sanaa mungu awape subra familya yote amjaalie qaulithabit na amjaalie qabri lake raudhwatun min riyadhwil janna 🤲🤲🥺
2026-07-24 18:15:46
2
Manalita :
innalillahi wainna illahi Rajiun Allah ampe subra sana khadija sheban wakati huu huzni Ameen
2026-07-24 19:29:21
1
Cutey ❤️ :
Allah akupe subra dadangu katka wakati huu mgumu
2026-07-24 21:51:58
0
Hillwa saufa🇰🇪🇹🇿 :
dada hadija leo umeniliza jamani hakuna kitu kizito kama kupoteza mzazi daah
2026-07-24 21:24:07
0
hafidhjeilan :
mshallah mama
2026-07-24 20:46:57
0
ummu K :
Allah ampekilmathabitt amuepushe na adhabb yakbrr,Allah ampe subraa khadija, aminn
2026-07-24 21:33:00
0
To see more videos from user @honaminamnyazi, please go to the Tikwm
homepage.