@fettymvungi: Usihukumu wala kuchagua upande kabla ya kujua ukweli wote. Mara nyingi kila hadithi ina pande zaidi ya moja, na si kila unachosikia ndicho kilivyotokea. Sikiliza kwa hekima, tafakari kwa utulivu, kisha ndipo utoe hukumu. 🌿✨🤍 #fettymvungi #fyp #viralvideo #creatorsearchinsights