@kitchencabinetsquality: 🏡✨ KITCHEN CABINETS QUALITY ✨🏡 Tunatengeneza Kitchen Cabinets za Kisasa zenye ubora wa hali ya juu kwa kutumia Turkish MDF (Moisture Resistant) zinazodumu kwa miaka mingi. ✅ Turkish MDF Original (Moisture Resistant) ✅ Marble Top ya Kisasa na Imara ✅ Soft Closing Hinges & Drawer Rails ✅ Finishing Safi na ya Kiwandani ✅ Tunapima, Kutengeneza na Kufunga kwa Ustadi wa Hali ya Juu ✅ Tunafanya Design kulingana na nafasi na mahitaji yako 📍 Tunapatikana Mbezi beach Dar es Salaam 🚚 Tunahudumia pia Tanzania Nzima 💰 Visit & Vipimo (Dar es Salaam): Tsh 30,000 baada ya makubaliano gharama hii itahamia kwenye kazi yako 📞 Wasiliana Nasi: 0753 205 555 Tunafanya jiko lako kuwa la thamani zaidi #kabatizakisasa #KitchenCabinets #ModernKitchen #TurkishMDF #kabatizajikoni