@rashid_ahmed360: Goli pekee la Seif Iddi ambalo limewapa ushindi M/makumbi combine dhidi ya Welezo city kwenye mchezo wa robo fainali ya Pbz yamle yamle cup.
Ligi yetu nzur ila tatizo CAMERA tu hamuna za kitosha maana hapa cha kwanza mpira huuoni umepita wapi na sura ya mfungaji haionekani🙏NAAMIN SUALA LA MUDA TU
2026-07-25 08:16:33
1
🌸⚘️🥀 :
😂😂😂sefuuu
2026-07-24 18:19:34
0
big donny :
hhhh dh yn sis asw kuendelea bado kwl yn km hii ndio camera hhh 😂😂 aaa sio pwh kwakwl kam tupo miaka ya Enzi za mitume sio pwh zanzibar kwakwl
2026-07-25 08:27:37
0
To see more videos from user @rashid_ahmed360, please go to the Tikwm
homepage.