@suleiman.magoa: Replying to @mussakitotonahod ukiona dalili hizi bas ujuwe nyota yako inatumiwa. yani mtu anatembelea nyota yako #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tiktok #foryou #viral

MAGOA TIBA ASILIA
MAGOA TIBA ASILIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 18:05:46 GMT
255481
13110
563
564

Music

Download

Comments

taw.love
Taw love tz❣️🇹🇿 :
anibakishie uhai TU mm na risk ya kula mana hata yy hatuishi navyo milele hivo vitu atavo vimiliki kupitia hio nyota ataviachatu
2026-07-25 04:14:48
164
hadijarashidi962
hadijarashid01 :
mim mkono wakushoto ukiwasha lazima nipate ela iwe isiwe
2026-07-25 10:57:01
54
lizycollection2
choosen1 by God🦋🧚‍♀️ :
Mimi ikiniwasha wakushoto lazima nitoe hela😹 wakulia napokea wallah
2026-07-25 06:51:26
21
saimon.davied
Sai brown :
daaah kak tayar nyota yangu washaruka nayo wallah daah sas nifanyjee
2026-09-02 16:31:33
0
najma.ame
Nanah dony :
😆video ijayo utuwekee dawa
2026-07-25 02:39:11
9
nuratymmasi
Nuraty :
iv mtu akiota ndoto alfu hakumbuki shida Nini ila anakuwa ankumbk ameota IL alichoota hakijui nn shd
2026-07-25 03:54:51
11
arshayna67
Arshayna :
haya dawa yake nini sasa
2026-07-26 18:23:51
1
micajoy342
divainy :
hizo dalili zot zinanitokea asa kuumwa kichwa
2026-07-25 05:00:58
9
fatumahassani066
fatumahassani066 :
mbona hayo yote yananitokea😳😳
2026-07-24 23:01:55
5
mwajabu.musa6
mwajabu musa :
Allah ndio mtoaji wa rizki,na rizki yangu Iko Allah hakuna binadamu yyte anaweza kuichukua rizki yangu,na Wala mm siwezi kuchukua rizki ya mtu yyte.allahu aalam.
2026-07-31 15:53:32
11
nahyamiraji73
nahyamirajo2 :
nikweli kaka unachosema
2026-07-24 21:25:23
13
qissy211
💖🦋 Qissy 😜 🦋💖 :
mbona kama tayari nshaibiwa 😳😳
2026-07-24 21:23:09
5
yusam065
Yusam06 :
mbn kama unanisema mm jamn😭
2026-07-25 04:29:03
7
user4074883222372
𝒛𝒖𝒖𝒉 𝒃𝒂𝒃𝒚 :
Mb bas yang ishachukuliw kam ni hvy man hizo dall zot nlishazipat na nazipat mpak kesho
2026-08-16 21:49:53
2
user3076658157290
💪Mk@li Ccmizi Shuj@@💪 :
shukran bro lakini nilikuwa nakuuliza kwa mtu ambae yupo nje ya nchi na anahitaji msaada wako utamsaidia vip
2026-08-30 15:53:05
1
saidi1320
saidi :
natajilisha watu ayounayasemanikwell mm dalilizotennazo unanisaidiaje
2026-08-04 13:14:04
1
user4021680819934
sheikha Sofiya :
mm mme wangu anaumwa sana na kichwa Hadi anazima Hadi anakosa Raha kabisa jaman
2026-07-27 09:12:32
1
couple00005
bint khatib🥰🥰 :
me niliota malaika anapaa kuelekea mbinguni lakin nikiwa nashaangaa
2026-08-03 06:27:34
1
user67079600162101
439 :
kabisa Kaka nisaidie kakangu
2026-07-31 18:11:51
1
mwanjaa.shaaban
Mwanjaa Shaaban :
nikweli kabisaa naomba msaada wako plzzzz
2026-08-05 22:27:16
4
chitablock
CHITA BLOCK :
dawa maombi wakuu
2026-07-29 14:43:10
2
thureysh05
Thureysh05 :
suluhisho ni nn
2026-07-31 22:00:10
1
45fjz
)fjzl45( :
tupe njia ya kuzuiya au kuludisha
2026-07-31 23:51:57
1
eysher43
📍EYSHER❣️ :
Hivi ww 🙏
2026-07-31 10:23:53
1
mussakitotonahod
mussa :
kwenye jicho kucheza umeniweza san na ilo namini umeluona baba 😳
2026-07-26 19:13:14
1
To see more videos from user @suleiman.magoa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About