Mimi nakuona kabisa wewe ni rais wangu ukweli litaokoa ccm na nchi yetu maana ccm kimekuwa chama cha rushwa,ufisadi,utekaji,ubadhirifu kimekosa uzalendo
2026-07-24 19:32:15
1
jasluo :
:Duuh inatisha na kusikitisha Sana. Katiba dio inamfanya raisi awe dictator. Katiba mpya inahitajika haka sana
2026-07-24 20:04:35
1
Michael Joseph :
🥰🥰🥰
2026-07-24 19:22:11
1
To see more videos from user @jaysontz2, please go to the Tikwm
homepage.