mtihani mwepesi kijana,,soma scenario vzr,,
Anza kusoma maswali then uende kwenye scenario,
naomba kuwasilisha📌
2026-07-25 08:03:55
69
curious nicole :
sasa bora ni maelezo tu sisi ni calculation swali moja 5pages +additional information afu answer 5 questions 😂😂😂😂mzumbe bn
2026-07-25 18:39:54
4
🎀halima🍭🎀 :
ningesoma story af nikairudia kwenye answer sheets
2026-07-25 17:21:19
3
chiddyyln8 :
Mbona maswali ya scenario ni mepesi sana
2026-07-25 18:15:06
8
Denning, LJ. :
Nkobogo mwaka 2016 aliwahi kutupa mtihani wa marks 20. Wakwanza nakumbuka alikuwa ana 2/20 mm nashukuru nilipata 0.5 then test nyingine c haba nilipata pata kdg so course work out of 50 mm nilipata 21.5/50. Ila Alhamdulilah final nikapataga 46/50 (wakati wa mtihani wake nilihisi kama tulitunga wote maana alitoa nilipo soma na kupaelewa vzr). Niliapa sitorudi tena kusoma LL.M Mzumbe 😂😂😂
2026-07-28 09:05:56
1
Hawk_23 :
Mzee huo bado! Mzumbe hapo hapo waulize watu wa sheria miaka ya 2018 kurudi nyuma, ilipigwa test question ilitokea kwenye picha ya nyumba ya mtu imeandikwa USIKOJOE HAPA..kupitia projector
2026-07-27 03:04:22
3
Rapha :
oohh mbona maswali simple kbsa kikubwa soma scenario chap uielewe mkuu hyo yanajibika
2026-07-25 04:09:25
7
RAPID GRADIATOR⚡ :
natafuta first year wenzang 26/27 tulio aply mzumbe☺️
2026-07-25 22:11:49
2
Rogers Rogers :
Chart GPT Atanisaidia kuelewa🤣
2026-07-25 15:47:40
0
GASPER KISINZA :
Ndio tofauti ya KNET na CBET.
2026-07-27 02:47:57
0
Robbieactor🦅 :
SUA Unaifahamu ww harafu kumbe mda ni masaa matatu sua hakuna mtihani wa masaa matatu only 2 hrs answer all questions
2026-07-25 20:46:03
0
asachi217 :
uu mtihan jana niliona muda umeenda chapu😅😅 ila Namshukuru mwenyezimung bhn nilimaliza😂😂
2026-07-25 16:27:53
0
Amedius Shengero :
brother hii sasa ndo UE kila nikiwambia ndugu zangu TIA wananizodoa kweli yani watumie waone afu walinganishe na semester exams zao 😅😅😅😅😅
2026-07-25 16:54:52
0
S@r@ D :
kwisha 🥰
2026-07-25 13:56:12
0
am_kp_ :
BPA -RAM 🙌🙌 bora nilimalza salama2024
2026-07-25 18:31:57
0
Londo Tz :
yan katik maswali mepesi ni hayo ya scenario muhim ni kuelew scenario tu
2026-07-25 20:44:09
1
kyaruz jr :
Daah🙌🙌🙌
2026-07-25 09:06:16
0
Wizdom :
wasomi hi😂
2026-07-27 20:35:07
0
beach_boe9 de only one :
asa huo mtihani nao mgumu wakati majibu yote yapo kwenye paper hilo
2026-07-29 09:02:49
0
Brayson_Lee :
scenario kama movie😂
2026-07-27 05:50:42
2
Givocs Tz :
mama weee me siji chuo bhana🥰🥰🥰
2026-07-28 04:08:45
0
~🦋phyner💕🫰 :
imenibidi nicheke kwanza 😹😹🙌🙌 elimu hio mkuu🥹💔
2026-07-26 16:44:36
1
To see more videos from user @arafatiadamu302, please go to the Tikwm
homepage.