@miss._justin21: #swahiligospel #tanzaniatiktok #viral #viral_video #goviral

._its_ellyn🧸🖤
._its_ellyn🧸🖤
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 19:12:14 GMT
136966
8828
335
923

Music

Download

Comments

mauwaglobal_china2africa
mauwaglobal_china2africa🌎🇨🇳 :
Ila twende mbele, turudi nyuma am proud to be Christian tena Roman Catholic
2026-07-27 18:44:19
190
miriammsuya
🌹 Momo🌹 :
proud to be Catholic
2026-07-28 14:42:15
1
catherine.leonus
Catherine Leonus :
haswaaaaa maana
2026-07-28 18:38:40
1
jr_junior6
16 :
Acha nimalize nauli ntapata lifti😄
2026-07-28 07:45:11
2
aminaharuna9953
Ammygirl 💦 :
Tanzanite Park 👌
2026-07-28 12:45:00
0
tetty826
Tetty💗 :
Mimi kwa kweli naendaga kanisani kwa ajili ya kwaya
2026-07-26 19:45:51
78
user810844350
flavy flower :
nani aliwahi toa nauli sadaka na akapata lift ya mpaka nyumbani 🤣
2026-07-28 07:28:13
20
user2931670335284
kassanga jr :
yaan kifupi kanisan naendaga na hela ya sadaka tuu nikisema niende na hela nyingne sitoboi mm jaman
2026-07-27 17:45:51
19
sammy001me
Sammy😇🥰 :
uchoyo mbona umefunga tusisave😅
2026-07-25 14:55:07
16
winphonce2
winphonce :
mm huwa naenda kanisan kwasababu ya kwaya na kukomunika basi 😂😂 nyimbo kama hizi huwa nakuwa chizi kanisan
2026-07-27 19:05:22
19
godfray5407
Godfray :
mm huwa naongeza kuwango cha sadaka kwaya ikinikosha kwa nyimbo nzur
2026-07-28 04:13:56
9
mamaayaan5
Mama Ayaan :
Ikifika hapo pa ulijua wazi kua mim cku na stahili weeee ntatembea tuu
2026-07-27 15:10:34
6
neemamwelemi216
neemamwelemi216 :
kuna nyimbo zikiimbwa unatamani misa isiishe
2026-07-26 18:22:30
14
winniemure2023
Winnie Shamalee :
Ndugu wanipende..... ...Catholic tumebarikiwaa.... 🙏
2026-07-25 23:07:28
9
user76853142334970
user76853142334970 :
akiii🤣🤣 ninaushuhuda
2026-07-25 14:53:10
5
user6176159219033
🦋𝓐𝓱𝓽𝓻𝓪𝓶_𝓐𝓾𝓻𝓪💫💪 :
mwanetu sio poa.... unasahau shida zote😂😂😂😂😂😂
2026-07-25 15:02:35
9
frankdrbreezy
FRANK DE BREEZY :
2026-07-28 13:07:45
2
dianessdenis
whain@ :
nyimbo I inapenya mpaka kwenye moyoni
2026-07-27 18:32:19
1
To see more videos from user @miss._justin21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About