mimi huwa naambiwa mme wangu leo fanya uwah kuna umbea wa moto🤣🤣🤣
2026-07-30 12:28:12
1
Glory fast food 😋 :
yaan nimeshindwaga kumilia kabisa
2026-07-30 09:05:44
1
Pius Maduhu :
Hao ni wanandoa wapya
2026-07-24 20:20:48
5
Yunus Sharif :
kw kwel ni raha ilioje
2026-07-29 10:29:48
1
mazizo :
inategemea na ndoa yenyewe
2026-07-26 15:23:08
2
reeny 💃 :
huyu n mm kabisa😂😂😂 mume wangu tu akirud Nampa umbea kabla ya kula
2026-07-26 15:41:39
3
@oficial.mamuh :
Kabisaa
2026-07-27 18:04:17
1
Real Chacha :
mimi na mke wangu kabisa 😂😂😂
2026-07-28 19:30:33
1
BABALAO :
mm mke wangu ananitumiaga meseji naomba uwahi kurudi nikupe umbea wa leo😄😄😄
2026-07-30 14:35:23
0
Esther ambwene :
mim akiwa hana mudi ananishushuwa kwanza
2026-07-29 17:16:27
0
simom donant :
kabisaaa
2026-07-24 20:20:16
1
Rose Mollel :
hahaaaaa tumefumwa kumbe nani katoa Siri jamani ila wanandoa 🙌🙌🙌 usije niambie kitu halafu uniambie nilimwambia mtu mimi Kwa kweli sitamwambia mtu ila mume lazima umbea umfikie
2026-07-26 18:40:35
1
kidoti :
Mbona kama mnanithema jmn
2026-07-28 18:53:32
1
Ummy Noor♥️🥰 :
hapa nimempigia nimuulize anawahi kurud au anachelewa nimpe umbea kwenye cm🤣🤣
2026-07-27 13:09:57
1
Neema Shama :
jamani kumbe tanamalizwa na atujui
2026-07-25 15:46:50
1
ukhty naah :
usiombe unipe habar yako alaf mumewangu arudi kazini😂😂😂😂
2026-07-29 19:12:02
0
Mary msigwa :
2026-07-29 17:22:55
0
jennifermosses :
hahaha weeeh nasubiria aje nimpe umbea nlivokua huko msibni kwa marehem