@dallarzpage: Here is a list of top 10 countries in Africa with the most number of airports. #africa #country #tiktokviral #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪

dallarz
dallarz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 19:36:40 GMT
38150
4146
334
22

Music

Download

Comments

sadam.issa97
Sadam Issa :
kaka hivyo viwanja 206 tanzania vipo wapi🤣🤣🤣 au umejumlisha na vya mpira , air tanzania tu inaenda mikoa mitano tu Dar, dodoma ,mwanza,mbeya na kilimanjaro
2026-07-24 19:58:40
31
alizsuleiman23
Aliz :
kadzanai
2026-07-31 08:03:46
0
useridrissa59
userIdrissa :
Sijaona Mozambique
2026-07-31 04:46:47
0
nameless021
Nameless :
🤣🤣🤣🤣this is insane research
2026-07-31 19:45:47
0
user1427942909776
MISHARY :
Mmmhhh so kwel
2026-08-01 10:22:20
0
kevoh.maina
Kevoh wa Maina :
where did you get that 370 in kenya?🙊
2026-07-25 11:03:14
9
shadreck4001
Shadreck.A.Mphande :
Ethiopia Ina ndege nyingi mbona haipo
2026-07-24 20:10:24
17
jose.nambaya1
Jose Nambaya 🚶 :
Kaka viwanja ni viwili tuu cha mwalimu cherere na pale zanzibar Ila ivo vingine ni viberiti tuu 😂😂😂
2026-07-29 16:18:56
1
kevin.kalama2
kevin kalama :
nlikua nnasubiria utaje kenya tu pkeyake..
2026-07-25 20:18:18
4
gilardin
gilardin :
Mukubwa congo 🇨🇩 hatuna vivyo viwanja vyote ni uwongo
2026-07-30 17:03:23
2
bahati.msigwa8
maiko msigwa :
kama ethiopia haipo hii list ya uongo
2026-07-24 19:44:30
8
awadhdeprince
Awadh De Prince🇰🇪 :
ata sijui hivyo vya Kenya viko wapi jamani ama mimi sio mwenyeji🤣🤣🤣
2026-07-29 15:13:56
3
gash412
S.B🏝️ :
Itabidi ufafanue vipimo vya kiwanja, maana ni kama unajumlisha viwanja vya mpira
2026-07-28 09:52:12
1
ibrahimsterling2
IbrahimSterling :
Guys he’s talking about Airports not international airports. Hope u understood
2026-07-26 23:05:34
1
aranky3
LOVIXXY :
Kwan africa Kuna mataifa mengine hayatambuliki na umoja wa mataifa
2026-07-27 11:25:23
0
mickytiki08
Micky tiki cocktails :
Kenya hakuna ivyo viwanja it's a lie
2026-07-25 05:35:48
0
kizamajavatz
kiza majava tz :
nilikua nakuamini ila naona kama inapoteza uaminifu wangu kwako
2026-07-27 11:17:04
2
proffbowy
Hedmand :
hapo kwa kenya 370 sidhani au viko ndani ya bahari
2026-07-26 10:39:57
1
mnyamwezi3600
it'stanzanite 45 :
umeisahau Sumbawanga inaviwanja 1000
2026-07-26 10:49:16
2
dicksonsonysonyz
sony :
hapa Kenya 🇰🇪 imenipiga na butwaaa nilidhani sisi hatuko kwa list lakini ukisikia Tanzania ikitajwa jua Kenya lazma tuko juu ya Tanzania kila kitu ata dhambi zetu zimeshinda za Tanzania
2026-07-26 08:29:29
1
beathambaruku691
Bite 255 :
mmh bora ningepita tu kuliko kusikikia huu uozo
2026-07-25 16:45:49
1
titi.ismail8
Titi Ismail :
Burundi 🇧🇮 sasa mpaka nasikia nataka kulia😭😭😭ila hilo siitatizo sana kwa kua nchi yetu ni ndogo hata kiwanja kimoja kinatosha. Ila sasa tizama kiwanja chenyewe utafikiri ni kibanda.😭😭😭
2026-07-24 21:50:35
3
johana.joe
Johana Joe :
hiyo 272 ya Congo iko wapi sasa ,, nimejuwa kampuni ya usafirishaji kwa ndege ni 2 tu
2026-07-25 12:53:38
1
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
Tanzania viwanja vya ndege miambili😳😳😳😳😳😳viko wapi hivyo viwanja na vina msaada Gani 😢😢 kwaiyo viwanja vya ndege vingi alafu ndege mbili😁😁😁 hii ni maajabu
2026-07-28 05:25:17
1
vumiliahamisi
Bota :
Bila unafik kwa Tanzania apo me nimeshangaaa sana
2026-07-25 08:33:46
1
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About