@msumbanews: Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu kufanya tathimini kwa nini Watu wanakuchukua Mikopo Umiza kuliko mikopo ya Benki. Mtaka amesema hayo wakati akizungumza na taasisi za fedha mkoani Njombe na kuongeza kuwa ni muhimu taasisi za fedha kuendesha shughuli zao kuendana na wakati. #MsumbaNewsBlog #rcmtaka #rcnjombe

Msumba News Blog
Msumba News Blog
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 19:50:03 GMT
11621
313
12
12

Music

Download

Comments

adelawello
adelawello :
Ni kwel kbs bank unaenda kukopa wanakwambia akaunt yako iwe na mzunguko sasa kama akaunt Ina mzunguko mtu una kopa ya nn?
2026-07-25 05:46:37
5
dani88ac
💞#SPOCOTO9🧠 :
Usisubiri mazingira yawe mazuri ndipo uanze. Wanaofanikiwa ni wale wanaotafuta suluhisho, si wale wanaosubiri bahati. 💞 #DANI LIFESTYLE 💫
2026-07-25 06:20:50
1
grrrzzzz2345
usercfx247 :
2030 kuna haja ya kutafuta mtu mwingine au ndo tumeshapata?
2026-07-25 07:24:08
1
amonjohn71
Mr. NMN Cps :
hao hawashaurikagi hata kidogo maoni ya Watu Huwa hawayafanyii kazi
2026-07-25 11:19:26
0
chief_utelezi
Chief utelezi :
Akili kubwa
2026-07-25 11:15:47
0
tammymwamkinga
tammymwamkinga :
Akili kubwa
2026-07-25 05:30:28
0
ngombe_wa_maziwa
KIZITO DAIRY BREEDERS :
mkuu wetu wamkoa ni mzee wa Fact tu yani hichi kichwa kibarikiwe sana
2026-07-25 03:43:53
0
user1043734528170
christofa luhanjala :
karibu ilembula mkuu elimuunatoa hatashule hatukuipata
2026-07-25 10:08:30
0
aggy70444
Aggy Ar :
huyu mzee ana madini kweli kweli
2026-07-25 07:27:17
1
x_cocktails_drinks
X_cocktails_drinks :
👏👏👏👏👏
2026-07-25 06:52:03
0
vaps49
vaps49 :
🙏🙏🙏
2026-07-24 22:18:45
0
rweba43
Rweba kuku-farm :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-25 04:35:42
0
To see more videos from user @msumbanews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About