msifananishe ndoa na hizi comedy watu wanachukia ndoa bure kwa sababu za maigizo ya mitandaoni siwezi piga mpenzi wa roho yangu namna hiyo labda akishindikana kabisa nitamwambia nenda kwenu upumzike mama hilo tu
2026-07-26 02:45:02
0
clementwaziri :
mseti kaka bado mim sijasikia kazi
2026-07-24 21:46:52
2
M.Makame :
Hapo shuleni au
2026-07-26 12:18:51
0
bahiya ❤️ :
ndoa hiz😂
2026-07-25 07:21:38
0
Steve Van Daniel :
kwani ww ulitakaje
2026-07-25 21:11:53
0
Mc Samson :
duuh
2026-07-25 20:01:47
0
SANGAH🗼TZ 🇹🇿💲@NG@🗼 :
kamelaman jamani mbn unatuangusha
2026-07-25 05:42:28
2
OMALI M, :
asee hadi laha asee😁😁 nuzri iy
2026-07-25 13:53:07
0
🌸Mom Ari💞 :
anayepigwa nae anajua kuvumilia khaaa
2026-07-25 09:18:26
1
001 bobwayne🥾🇹🇿🎆💯🐅🐅🐅🐅 :
nitakufatilia syo ngoma hyo
2026-07-25 09:45:40
1
evoy💕 :
yoooh
2026-07-24 20:21:48
0
traore @nzella🧎 :
nitakufuatilia......
2026-07-25 14:25:47
0
Gee cute♥️♥️ :
heeee ntakufurahisha😂
2026-07-25 04:08:17
2
tinn@% :
anapigwa mwingine naumia mm kwa arii ii siwez mm😭😭