Kwa nini tupambane ilihali anasema eti rais anataka katiba na ndo mwenye mamlaka ya kuamua jambo hilo sasa kwanini tupambane nakwanini iwe kupambana ilihali wote tunaitaka
2026-07-25 04:20:51
7
john.chenga0 :
Nakuelewa sanaaaaa mchungajiiii
2026-07-25 03:38:27
12
Jofle Mwalusanya :
mmmh tupambane na nani na tupambanie nani wakta wenyewe ndo washika mpini
2026-07-25 03:51:53
6
Seif Kabelele :
NDO HAPO SASA ANATUDANGANYA MCHANA
2026-07-25 07:07:04
2
editha :
mmmh na Hilo neno
2026-07-24 22:05:10
4
big brother :
kwanini yeye asikae na mama Samia wkaanza mchakato wa katiba mpya
2026-07-25 03:44:10
3
Allasusu :
katiba mpya haipatikani bila kumwaga damu hiyo ipo wazi kwa karibu nchi nyingi..hata Kenya walimwaga damu kwanza
2026-07-27 07:52:59
1
@fransis am94🌲💫💎 :
jamani swala lipo ivi mwenye kuitajikatiba mpy sio samia ni makamu nandio mana kasema ivyo tupambane sbabu yeye yuko kikaangon hawezi kupambania hilo
2026-07-26 15:39:38
0
Silas Nziguye :
100 kwa 100 upo sahihi chakula anacho yy haraf anasema tupambane tupate wakat inatakiwa atupatie
2026-07-25 07:53:16
1
Jungaboy Stelling :
mh mbona wenyeakili tupo wengi sanaaa nakubali father unajcho la3
2026-07-25 09:51:03
2
IBRAH GM :
kwann mitazamo mingi ya kisiasa nchi hii kwa sasa inachambuliwa na viongozi wa dini kuliko wanasiasa wenyew? kuna nini kimejificha nyuma ya haya yote?
2026-07-25 06:39:35
1
b dollar :
unaakiri sana mchungaji
2026-07-24 22:52:26
1
Biseko Jackson :
hi game ni tafu sana
2026-07-25 05:45:40
1
Mandambwe The'son :
sasa tatizo ni Moja kama rais na wazir wote wanataka katiba ni nani?anayekwamisha ilo?
2026-07-26 10:32:02
0
The Grand :
kwa kweli siasa
2026-07-26 11:54:13
0
Issa Nassor :
mungu tuhifadhi nchi yetu na vurugu
2026-07-26 13:00:15
0
baynit1 :
anaandaa agenda yake kesho
2026-07-26 17:31:52
0
oswedi sai :
awa wanatuinjoi
2026-07-27 17:24:06
0
Aisha Habs :
nkwel kaka
2026-07-26 17:18:53
0
Jacksoni :
nakubar mchungaji
2026-07-30 10:14:47
0
Jerome Mshanga :
mchugaji nikweli kabisa🤣
2026-07-28 05:42:27
0
Al bimany :
yuda huyo
2026-07-27 13:15:51
0
GRANDMASSAWE22 :
Mimi nimemwelewa! pengine
2026-07-26 14:09:32
0
Festo Nyau :
mungu akuongoze mchungaji amina
2026-07-26 20:56:37
0
Ibrahim Salehe Salehe :
😳du?
2026-07-25 04:29:43
0
To see more videos from user @mbarikiwasalometeam, please go to the Tikwm
homepage.