@ali_wisdom: Sikuwahi kuwa na mpango wa kukupenda, lakini moyo wangu ulikupenda kabla akili haijapata nafasi ya kukuzuia. Sasa kila nikikuwaza, nahisi kama umechukua nafasi yote ya moyo wangu. Uko mbali na macho yangu, lakini upo karibu sana na roho yangu. Wewe ni sehemu ya maisha yangu ambayo siwezi kuisahau. ❤️ #creatorsearchinsights #viralvideo #Love
Sikuwahi kuwa na mpango wa kukupenda. lakini moyo wangu ulikupenda kabla akili haijapata nafasi ya kukuzuia. Sasa kila nikikuwaza, nahisi kama umechukukua nafasi yote ya moyo wangu. Uko mbali na macho yangu,lakini upo karibu sana na roho yangu. Wewe ni sehemu ya maisha yangu ambayo siwezi kuisahau. ❤️
2026-07-25 19:17:07
8
zenah official @ ££"%% :
alikuwepo but now hayupo ambaye nilimpenda it is very painful to hear that
2026-07-25 13:27:05
1
peachy peaches 😍 :
Mungu amrehem nliempenda tukapendana ila mipango ya Allah ni mizur zaidi aliaga akaniacha mpweke 😢
2026-07-28 06:04:22
4
DEE PAFYUM :
acha tujifariji kam nimetumiwa 😂😂😂
2026-07-25 11:21:28
5
Shoes-womens-02 :
Ngoja ni sevu itanisadia baadae
2026-09-07 13:40:36
0
Ally yasin :
unanipenda?
2026-07-25 10:57:38
2
stella :
ngoj Leo nitumie lafikiang inafaa😂😂😂😂
2026-08-06 16:36:13
0
ciccio :
2026-09-06 06:05:05
0
cute and blessed 💛💛 :
Ujumbe mzur san jaman na ucopy je
2026-07-25 11:13:53
2
Honey :
Asantee ujumbe huu umenipatanisha na mpenzi wangu☺️
2026-07-24 23:06:10
4
🦋عيون🦋 :
Dah
2026-08-20 13:58:58
0
haroub binkhatour :
dah
2026-07-25 04:34:57
3
✨🤍 It's me✨🤍 :
Imenigusa sana hii message jmn 🥰🥰🥰
2026-07-26 22:32:28
1
Ibuuhd ✍️.. :
umebaruza humu 🙌🥰
2026-08-06 20:35:06
0
akii sta27 :
nipo kwenye hili penzi langu miezi mi4 sasa daa ubalikiwe d wangu mtoto unajali wewe nimesahau kama kuna kuachwa duniani
2026-07-29 16:54:55
1
dormanmalisa918 :
napenda sana
2026-08-01 22:25:25
0
MANENO MWENDA :
asee hz swaga ukitup ndoano lazima pisi ikae yaan itkuw inasoma mara mbili mbili
2026-07-26 20:36:22
1
braythyme lim 779 :
kaka hii misemo Yako inatusaidia san sis Domo zege inakuwa kitong san tunkopi Kam yalivyo
2026-07-26 12:04:38
1
romahardware0 :
@
2026-09-07 20:24:34
0
kelan sosi :
🥰
2026-08-23 18:02:40
0
🧕🏾Her3130💞🔐 :
@DODOMA SMART DEALERS STORE 🥰
2026-07-28 17:03:39
1
Mtambo_junior57 :
❤️
2026-08-31 08:38:25
0
General Raphael Lee Mwadime :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-02 08:50:56
0
mr milk :
💪
2026-07-25 10:09:17
2
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.