@uhondo.tv: Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, ametangaza rasmi kuwa uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi 2026 utafanyika katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, mkoani Geita, huku kilele cha maadhimisho hayo kikipangwa kufanyika Agosti 9, 2026. "Safari hii uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi utafanyika Katoro. Nichukue nafasi hii kukupongeza kaka yangu GSM wa Katoro na timu yako, mmefanya kazi kubwa kuhakikisha tukio hili linafanyika Katoro," amesema Eng. Hersi. 🎥 Video Cdt: YangaTV/AzamTV #UhondoMichezoni
ntatoroka kwa mume wangu ili niende nikirudi nta muomba msamahaaaa tu
2026-07-25 10:42:16
0
YuJay MR@@ :
yan moja ya vitu ambavyo yanga wamelifanya bila kuwaza ni hili hyu jamaa ametoka kuwa na shughuli kubwa tena nzinto iliyokuwa na muitikio mkubwa unadhan mkimbebesha hili itakuwa na muitikio kama ile ya harusi yake shauri zen me msije nambia mmeingia hasara kias flan
2026-07-25 13:58:56
0
Masunga Mkononi :
wazee hv itakuwa Date ngap hiyo ya uzinduz?
2026-07-25 11:58:31
0
Dolla Slaa :
Nanyonyeshaa ilaa nataachishaa bhnaee kwanzaa mtoto anamwakaa mmojaa hata kumwachishaa ni sawa tu nedne zangu katoro mieee
2026-07-25 11:08:54
0
matthew :
katoro tujuane hawatuwez dar
2026-07-25 12:06:52
0
KIDURU CHA MNYAKAYA :
wow
2026-07-25 05:02:10
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.