@amostarmedia: Breaking news #fypppppppppppppppppppppppp #fypppppppppppppppppppppppp #fyppp

AMOSTAR MEDIA💫
AMOSTAR MEDIA💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 22:16:23 GMT
162576
5663
268
228

Music

Download

Comments

user8158373261061
groly once again🎀💕❤️ :
kam ww watu credit gonga like apa maana wanatunyoosha jmn mpk tuna choka
2026-07-25 07:43:32
165
ediga.you
EDIGA YOU :
Nina ya yas mm 😂😂😂
2026-07-25 14:34:57
1
saidimpako
Mr. jerusalem :
TCRA Waco?
2026-07-25 11:43:17
0
kapchita
kapchita :
tulio kopa AO7 tujuwane🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 07:39:21
86
japhet.maxcel.jon
Japhet black king :
simu hizi ukimaliza mkopo ni sawa na umenunua simu nne nlinunua simu ya mkopo ila mpaka namaliza mkopo nililipa total milioni moja na kitu samsung a16
2026-07-25 05:17:38
68
mtotowabaraka
mtoto wa baraka :
jamn hii kampuni ya pampay niliokopa Mimi kiboko siku moja kabla kulipa wanapiga simu kama nimekopa kausha damu
2026-07-25 06:57:46
33
saudacute2
Sauda 🙈 :
bora wakamatwe wanatutesa sana aisee mm nmetoka kufungua apa
2026-07-25 06:50:17
12
diana008fx
Diana :
ndy jamn Kam kapuni yas wanachukuwa ela wenyew kwenye akauti wakati sijawapa namba yasili Ii imekaaje niwezi kwakweli 🥹🥹🥹
2026-07-25 14:00:10
7
lizz58982
lizz589 :
siludiii kabisaaa nimeingezewa deni
2026-07-25 10:04:28
5
sophia.juma950
Sophia Njeru :
na ukimaliza mkopo simu nyingi inakuwa dhaifu au kufa kabisa na ukimrudishia mkopeshaji anakwambia haifai au ukope nyingine
2026-07-25 06:59:08
7
abdul.omary38
Abdul Omary :
Swali langu kwann malipo yakikalibia mteja kumaliza simu inakufa au kuwaka nakuzima nahata kuitengeneza haiponi
2026-07-25 06:11:18
8
tee.bby72
Tee bby❤️ :
wanatupiga sana jamnii cm ya 250 unalipa laki 5 huu ni unyonyaji
2026-07-25 09:18:29
7
user20631741196578
tiktok :
sm za mkopo zinasaidia mm nilikopa nanimemaliza deni na sm haina tatizo nainakaribia mwaka
2026-07-25 07:16:08
1
lutphah
💫 dad's heart✨ :
mungu anisameh tuu yang nililipia laki tatu kasol nikaibutuaaa 😂😂
2026-07-25 10:28:22
5
otaru.girl
Otaru girl💕💞 :
mh uyo ni ndugu yng jmn neema
2026-07-25 04:13:26
6
dads_favourite_1
DAD'S FAVOURITE❤ :
simu inafungwa lkn hatunauwezo wa kuangalia sms Wala mawasiliano ya mteja ila tunadownload security kweny cm ya mteja ambayo inakuwa controlled na system ya kampuni ko kam mteja hajalipia cm isipokuwa inafungwa watalipaje den maan Kuna wateja mpk wafungiwe ndio wanalipa😅😅😅😅
2026-07-25 02:46:09
8
mussa.omary06
Mussa Omary :
Hii bihashara bola ifungwe tu maana mikopo imezid sm tununue kama zamani selikali iingilie kati
2026-07-25 06:27:56
8
mamking17
mam kingsley👑👑🥰 :
yule pale n mm nlikua dukan🤣🤣🤣
2026-07-26 00:00:56
1
stanleyissack
stanley :
mm siwez kukop simu bora niitafte hyo laki tano nikanunuena nimeshanunua ktambo san lkn kukop bug NO
2026-07-25 02:11:57
8
mr_fit15
mr_fit💪🇹🇿 :
kingine je? kama ukimaliza unaletewa taalifa gan maana unaweza ukamaliza na bado wakaendelea
2026-07-25 09:29:46
0
user49745829636282
MAMA🦋 MUU 🔥 :
Najuta kukopa pampley
2026-07-25 09:28:45
2
vetina.ophacry0
mrs j💞💞 :
kwery fanyeni uchunguzi zinazingua
2026-07-25 07:21:27
3
essaugeorge595
Essau George :
hii ni mikopo indirect, ukipga hesabu mpaka mwaka umeisha unakuwa umelipa 1M......nakuendlea 😂😂😂😂 natania tu. 🤔
2026-07-25 12:41:48
2
matachitz
kubwa la Soz icon🙏 :
Na kwanini ukope Simu😂
2026-07-25 22:44:55
1
aishaaloyce155
Aisha Aloyce :
nachoka mie
2026-07-25 19:27:41
1
To see more videos from user @amostarmedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About