@werise_590:

Abdurahman
Abdurahman
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 24 July 2026 22:23:53 GMT
22604
2065
46
69

Music

Download

Comments

user4693436122255
user4693436122255 :
uhakik yn
2026-07-25 05:49:29
0
mama.na.idriss
Twiga 🌍🦒🦒 :
𝐬𝐚𝐧𝐚🥺 𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐮𝐫𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐲𝐨𝐧𝐢
2026-07-25 04:50:06
16
mudrickkhamis
mudrickkhamis :
huu uwarafiki unakuwa haunaga unafiki
2026-07-25 06:19:50
5
sharifamohd0
sharifa :
dah ndio mn had saiv Sina rafik mn nilikosa tangu utotoni😭 natamn niwe na rafik wa kwl na mm
2026-07-25 04:24:10
9
shakiramohammed59
Shamosi💞❤️ :
Namkumbuka sana rafikimyamgu Light sijui yupo wapi sasaivi kama akiiona hii mimi Shakira wa Makongo
2026-07-25 09:18:28
2
zaincodeweb
Marzain~🤗💦 :
nilichokigunduw sio urafiki tu bali rafik wa kwel mana ktk watatu mmoja atakuwa dhalili mbele ya walobak kaniskitish uyo alokuw pekeake
2026-07-25 08:40:08
2
ghamidhassan
comred wa zanzibar :
oya pemba sehemu gani iyo aunjia ya air pot au
2026-07-25 08:28:56
2
zainabu.aljabiri
Zainabu Aljabiri :
jaman Hadi laa mm ninao 3 nikilud Hom lazima niwatafute hatakama wameolewa mbali napanda Gali naenda
2026-07-25 08:59:32
1
shaqeelkhan98
SHAQEELKHAN🤴 :
Ni kwl sana nawakumbuka rafiki zangu
2026-07-25 08:32:39
1
fettymohd31
fetty 💞💞 :
hakika ni ukumbusho mzur kumbukumbu za utotoni alicho kifanya ukubwan alio ona bora tushee mume dah kwa vile nilikuwa nimechoka moyon niliona bora nimuachie yule baba watoto alijisahau alizan amenikomoa kumbe anajikomowa mwenye maisha ya ndoa yanausir mkubwa alijuwa shoga yake anapitia raha tu kwenye ndoa nashkur alinipokea mazila ya moyo Allhmdullillah alijionea yalio jificha wala siku mchukia had leo tupo pmja tunapendana kiukweliii alipitia magumu zaid yangu kwenye ndoa mungu amsimamie 🙏🙏
2026-07-25 07:50:56
3
therealkhayra__
خيرة ❤️🧸 :
nimekumbuk mbal wallah urafk wa utot n nzr upo n kumbkumb nzr nying 🥰 ila saiv kil mt na maish yak 😒🥹
2026-07-25 07:18:41
2
usermaalimsultan
shariff SULTAN :
nilikuaga nae lkn Allah alimpenda zaidi😭😭😭 sijawai pata kama huyo tena walai😭😭
2026-07-25 06:29:56
1
y_yy001
🩵 :
Wangu mm wote wamefariki. Rabbi ghifril waskanahu fil jannah
2026-07-25 08:49:45
0
user5455957676155
KADE BOY 18.. :
Ukongoroni moja tu home sweet homee kaka abra
2026-07-25 09:03:33
0
amirielectronics1
Amiri Electronics :
kabsaa😂😂
2026-07-25 08:30:53
0
raziiiiiiiiii10
Razr101 101😎🤑 :
uhakik broo 🤩
2026-07-24 22:43:43
1
aishakhatibu06
miss you :
🥰🥰
2026-07-25 07:41:30
0
br_abdllah
Dullah :
maisha ndiyo yanatutenganisha na watu tunaowapenda
2026-07-25 07:53:50
0
talibmuhsin790
Al_shirazy :
𝐡𝐚𝐤𝐢𝐤𝐚
2026-07-25 03:40:54
0
seleman.ally87
SULESH😎 :
sanaaaa tu👊
2026-07-25 04:43:19
0
ibrhm_1979
Ayaan❄️ :
Hakika kabisa ni maneno sahihi❤️🥰
2026-07-25 06:50:09
0
nassranamed
Nasra Mohamed :
Shogaangu Dida Roshan Popote ulipo nakukumbuka sana hii video imenifanya nilie jamani niko na Asya Wangu tayari ila bado wewe jamani ulienda wapi Dida!
2026-07-25 07:25:49
0
al.habibahmed
AL.HABIB AHMED :
SWADAKTAA sheikh 😎😎🥰🥰
2026-07-25 05:34:59
0
swaghiiru_na_jamii
swaghiiru na jamii :
Hakika umesema kweli Wengine utotoni kwetu hatukupata simu za kutupiga picha za kutosha na kuweka kumbukumbu😇
2026-07-25 03:02:18
1
To see more videos from user @werise_590, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About