nakupenda sana shekh wangu,,nilisilimu kwa ajili yako wewe,,ila niko na changamoto sana za kifamilia hadi nahisi nitaritaddi tena😭😭😭😭
2026-07-27 17:57:28
2
ibn shemaeze :
Allah akuafikishe uifate sunnah kisawasawa
2026-07-29 13:37:01
3
Simba wa nyika :
twariqa kitu chakwanza sisi hufunzwa adabu😁
2026-07-25 06:29:13
13
STRAIGHTS OF HORMUZ :
ibnu taymiya alikua mwana siasa kutoka albania mamake ni mualbanian
2026-07-25 16:16:37
0
ABU HAMDAN ALHAMDANY :
Al-akh Saeed maneno yako ni mazuri, kwanza napenda ufanye kazi ya kufundisha vitabu.
hii clip ni vyema uiweke tena upya maneno yamekatika.
Do not focus on negative comments.
2026-07-25 10:50:28
5
Muhammad wazir :
Al imam Ibnu taymiyya ni mwalimu wa Al imam Ibn kathier. Allah awarahamu wao na sisi
2026-07-31 13:47:50
0
Muktari Ngoto :
we muimbaji tuh.
2026-07-25 10:18:04
1
Said salim :
حزاك الله خيرا
Elimu si chuki, na ikhtilaaf za kielimu si uadui.
انصاف
ni muhimu mno
2026-07-25 08:16:48
1
abdallahtitu :
shekhe wetu umepotea na umenenepa mashallah
2026-07-27 14:21:34
0
Athuman Beja :
sisi tukiwataja tunasema rahimahulah cjui hao niwakina nan
2026-07-30 09:09:46
0
Komora :
Jamii iheshimu wana vyuoni.
2026-07-25 11:08:45
0
Mr kim :
jmn mashekh zetu acheni kukimbizana nao tuwekeeni darasa tusome Kwa kutufundish tutajua haki na Kwa mijadala munashush hadhi na musababish ushabiki
2026-07-26 09:03:30
0
Timer Media :
جزيت خيرا
2026-07-30 17:53:48
0
Albaazi Cali :
جزاك الله خيرا
2026-07-26 08:36:17
0
Jamaldin Abubakary :
لأن كريم الأصل كالغصن كلما
تحمل أثمارا تواضع وانحنى 📚 انت بحر نورك الله يا شيخ سعيد
2026-07-26 11:51:00
0
بن سليمان، بن عمر، :
Weka mazingira Sawa kaka ndio maana tupo na wewe hili jambo limeanza kukomaa baadhi miongoni mwa watu wa twariqa haswa mtandaoni wanaungana na mashia kusema ibnu taymiah kwa maneno ya dhika na istihizai
2026-07-25 09:20:54
0
STRAIGHTS OF HORMUZ :
wakati masalafi na mawahabi hutukana mashk wa twarika hiyo hua mwaona ni sawa ila wenu akitukanwa mnaanza kulialia KWANZA ACHENI KUWATUKANA MASJK WA MANHAJJ NYENGINE ILI WENU PIA WAPEWE HESHIMA
2026-07-25 16:19:25
0
Cyusa :
habib number yako naitafuta sana
2026-07-25 14:09:13
0
Abuuh :
kharij ndugu zenu wanasema hiv nipe dalili ya salaf kusema ni kafri uthimia
2026-07-25 07:43:39
0
Mohaa :
Hamuna Issue ni ubaranganya tu
2026-07-27 19:41:08
0
abuomari4 :
Huyo ni Mwanachuoni wa Kwanza Kuitwa Sheikh islaam
2026-07-31 20:28:28
0
Abdulrahman Haji :
na ww acha dj
2026-07-25 08:30:45
0
mbatikali :
dj
2026-07-25 08:17:58
0
landscape architect 🙃 :
bingwaa Ahlul Janna sheikh saeed shiraz Allah akuwek habiby
2026-07-24 23:08:00
0
To see more videos from user @saeed.omar.alshir, please go to the Tikwm
homepage.