Sasa wao walihukumu baada ya kuchunguza au walichunguza baada ya hukmu ??
2026-07-25 07:06:31
0
Ali suleiman :
ufahamu sahihi wa aya hio ni kuchunguzwa mtu kwanza ndio kikipatikana ushahidi ndio asimamishwe kwasababu aya yaendelea kusema أن تصيبوا قوما بجهالة فتصبحوا على ما فعلتم نادمين
kwaiyo hakuna eti mtu asimamishwe ndio kupitisha uchunguzi na km ingekua hivyo basi ikitakiwa iwe siri namna ambapo hutoki hadharani na kusema wamekeuka maadili
2026-07-25 15:53:15
2
Abuu Nassiry :
Sheikh Shafii inatosha basi! Fuateni sunna. Punguzeni mjadala. Labda kama mna lengo la kuboresha accounts zenu.
Kwa maslahi mapana ya DINI nadhani ni bora kunyamaza.
Pia epuka kujibu hoja kwa kutaja watu, wengine hawana subra wanaweza kukuvunjia heshima maalim.
Inshallah kuna kuna kheri basi tuwe na subra.
2026-07-25 12:56:10
1
Kadiga Ali :
kwani aliempisha Walid walituambia kosa lake?
2026-07-26 16:00:22
0
user9360368050426 :
uko sahihi kabisa
2026-07-26 03:22:13
0
Majorlaizer01 :
😁 taratibu tu
2026-07-25 07:18:48
1
Ummy Humayrah :
walikua wamemtoa sasa ndio wamebadiri
2026-07-25 19:43:09
0
empire :
madini
2026-07-25 14:36:42
0
iddimulunga2 :
😎😎😎
2026-07-25 08:53:21
0
akhi kareem :
ukimsikiliza shafii kwa usahihi hajasimama upande wowote but anasema pale kwenye ukwel kwa walid pia na kwa bakwata
2026-07-25 17:17:33
0
seifnassor522 :
wewe unacheo gani Bakwata,,,kwni wapelelezi wote polisi wanawapeleleza watuhumiwa wote wapo lumande
2026-07-25 11:35:35
1
Suleiman Ali :
sheikh shafi hueleweki
2026-07-25 12:25:35
2
Al khutuby :
wanafiki utawajua tuu , soma kwanza dini sio porojo
2026-07-26 09:11:06
0
siraj :
kumbe wanaemchukia wengi hata wewe shafii
2026-07-25 14:38:33
2
babu :
Hayati rais Mkapa aliwahi kusema waandishi wa habari wa Bongo ni waa dishi uchwara.
2026-07-25 12:51:51
0
user4712546546566 :
Kwani alipo teuliwa mliuliza sababu za kuteuliwa kwake acheni kulopoka
2026-07-25 11:38:45
0
SNIPER :
Kasimamishwa wapi ametolewa
2026-07-25 16:53:09
0
Hamadi A Karahani :
Huyu naye ana husda na sheikh walidi
2026-07-26 11:36:42
0
To see more videos from user @shafiionlinetv8, please go to the Tikwm
homepage.