@minnah_bakery:

Minnah_bakery_Arusha
Minnah_bakery_Arusha
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 06:03:45 GMT
6593
124
81
8

Music

Download

Comments

user4996790553000
mamich sweet cakes :
cake ya 55,000 hiyo,pole bakers tujifunze kusimama imara kwenye swala la bei vitu vipo juu sana na wateja wanajiamulia tuu wanachotaka hawana huruma
2026-07-26 19:55:35
4
semsola1
Hope cakes-Iringa🎂 :
Au alitaka ngazi 3🤣🤣
2026-07-26 18:36:10
1
reymandegirl
reymandegirl :
Alitaka ale na famlia yake mwezi mzima hyo cake🤣🤣🤣
2026-07-25 20:10:06
3
lady.tuma.mekup.a
ladytuma bakers🍰🎂🌯🥞 :
pole mwaya ndo changamoto zakazi
2026-07-25 15:49:39
1
zaamcake
zaam cakes and more 🍩🍫🍕 :
mm cake nusu nimemtilia gram 650 na kalalamika 😂 anasema ndogo 😂 bakers tusifanye kazi kwa kuwaridhisha wateja na bei ya vitu vilivopanda ndo kabisaaa
2026-07-26 03:58:31
1
emsweetcake
emsweetcake :
Cake iyo 40k anasema ndogo..?pole kila kaz inachangamoto zake
2026-07-26 13:28:07
1
jael.cakes.juices
jael cake's& juices :
kwe kweli uyo mteja Kwa heli ya kuonana,imagine Kuna mteja ananipigia simu anasema nataka cake ya 10000 iliyopambwa mwenyewe anasisitiza kadogo tu😄😃😃
2026-07-28 08:58:48
0
newelishebah
New Elishebah :
Jamanii mbona cake umempendelea sana hii?
2026-07-25 18:38:05
1
rahma_hans
rahma_hans🤍🥰 :
jamn hii si kilo na nus kabisa ila watejaa😳😂😂
2026-07-28 17:16:09
0
zavinatz_mbezimwisho
ZAVINA TZ :
ila wateja hiyo ya kula wawil 😃😃😃😃
2026-07-25 18:49:02
1
iam_sarayah
rayahcakes🎀 :
Pole kwa changamoto bila 100k sipiki
2026-07-26 18:51:17
0
mdee2839
Mdee :
ungemaliza kumtumia ile sticker ya mama careen i love yaaah🤣
2026-07-26 14:07:44
0
maricecakes
Marice Cakes🧁😋 :
Hii ndo cake ya watu wawili my dear😂🤣
2026-07-25 18:24:06
0
_._pearl02
being_lolo✨💜 :
Duh uyo dada akija kwang c atarud kunipiga mana cake yang ya kilo haipo ata ivo🤭
2026-07-26 08:04:34
0
fellysiwi11
Frida cakes :
"senarial" imemfunza kitu😅.. polee dear
2026-07-26 12:25:58
0
tee_tastes
Tee_tastes :
😂😂🙌🏻mmmh huyu mteja nae kiboko loooh kwanza hiyo 40k umpe kwa bei ndogo sanaa
2026-07-26 12:00:52
0
mendycakes1
mendy_cakes kigamboni :
Mbona ni zaid ya sh40,000 hio cake🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️kwaheli ya kabisa mteja
2026-07-26 14:29:24
0
lady.tuma.mekup.a
ladytuma bakers🍰🎂🌯🥞 :
duh hii ndo haijafka kilo jmn wateja
2026-07-25 15:49:19
1
palacefashion1tz
Palace-fashion :
hii caki 80k ndo napika bila hp nina uzulukwakwel akale mikate
2026-07-26 11:27:39
0
khoobsurat__
khoobsurat__ :
Mbona kama kilo na nusu jamni 😂😂 🙌🏻🙌🏻 ila watu wanatakaga kushiba kwenye cake au
2026-07-26 06:13:31
1
nuukhana
Nurash Khana :
hii ndio alosema wanakula watu wawili tuu🥺ama kuna nyingine
2026-07-26 08:15:36
0
shombeshombe_kitchen
shombeshombe kitchen :
duh hii ndio sio kilo 😂
2026-07-25 19:33:45
1
ciah.0911
Dodoma cake 🎂 tamu 😍 :
Watej watakuja kutuuwa jmn 😫😫😫 kwahiy alikuwa anatak kupata ngazi mbili au 😂😂
2026-07-25 20:22:10
0
rreby_1
rreby_1 :
uwii sh ngapi hii jaman nataka kama hii
2026-08-01 07:46:09
1
koreangirl631
koreangirl631 :
Yaan umempendelea sana jmn yaan vitu vilivyojuuu jmn alfu alalamike hvy hapana jmn
2026-07-25 20:01:48
0
To see more videos from user @minnah_bakery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About