@joyce06191:

joyce
joyce
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 06:48:27 GMT
180088
9538
1250
1742

Music

Download

Comments

ecogenius26
Eco paul :
jaman ndo nimetoka jera naomba kuuliza hii ndo harusi ya katoro??
2026-07-26 07:03:32
635
user148832607140
Anna Amosi :
Ambaye hatuja elewa tujuwane
2026-07-25 18:29:38
246
naynah404
🎀Suuh🥺🤪 :
ila Tanzania taingia October 29 wananchi awapo saw😂😂😂
2026-07-29 09:06:53
101
iamhasnah993
hasnah💫😍 :
sorry simu yangu imevunjika kioo nasikia sauti tu kwan wanafanyaje🥺
2026-07-26 21:01:47
93
miyah682068
🎀🫧miss_miyah🫧🎀 :
lakin hawa si tuliwakimbia facebook😳
2026-07-26 17:19:03
81
user1662676852415
godizooo mwamb :
aloooooooh😆😆😆😆
2026-07-31 19:25:54
0
elizabethkibiki24
Kibiki Lizzy 😜 :
True love story 😂😂
2026-08-01 18:02:33
0
crevian0
crevian :
Anniversary ☺️
2026-08-01 03:38:58
0
mamucute576
☘️mamu🧸🎀 :
duh em10/10nalipa chap mie
2026-07-31 13:46:06
0
pkmickmick
Kwa DEE😍 :
tunaoangalia jumanne ya leo mambo
2026-07-28 14:47:08
75
naomi.hassan60
NaNa🦋🦋 :
jamani ndo nimeanza kutumia cm kubwa huyu ndo kajala na konde😳
2026-07-27 19:29:35
34
mnape.tz8
mnape TZ :
jamani naomba kuuliza hao ndo wasukuma ama
2026-07-25 17:28:42
33
tinahfey
tinahfey :
ila wahaa
2026-07-26 17:10:10
24
deborahnyabenda
edina :
nilizan watataka kupigana nije kuamua
2026-07-26 13:46:22
24
ashasaidi216
official ashuu :
iiii ni harusi au basdei
2026-07-27 18:48:00
6
besteve09
Therealbethy🥰💕😉 :
wangapi tunangalia saa moja usiku na wifi ya bure 😂😂
2026-07-28 16:41:07
21
chipozi_vision
chipozi🎬🎥 :
mungu anakupa wakufanana nae kwa kwel
2026-07-28 16:34:17
5
__big_scott01
__Big_Scott :
UKISIKIA MUNGU MWEMA BASI UJUE NI KILA WAKATI 🤔😳🥰
2026-07-27 06:26:46
13
user7996288711025
user7996288711025 angel msigwa :
ambao hatuelewi tujuane
2026-07-25 18:36:22
5
mfaume.mchonjo
Mfaume Mchonjo :
utakuta mapenzi Yao yanafuraha aman upendo mshikamano kuliko ya kwetu tuliofanyia ukumbini na garama kibao😂😂😂
2026-07-28 14:14:16
7
miss_____lee
MISS _🥰💝🏝️ :
Wamekaa km wanataka kupigana apo mwanzo😂😂
2026-07-26 16:55:01
6
chiimerry4
Moom Jen 🥰 :
Tik tok yaa mchana leo sio kmaa yaa jana 😂😂😂
2026-07-26 11:06:49
6
beldencrosby
Bel :
Oya nisiwaone tena kwenye TikTok yang, mm kipindi najiunga nilichangua football music na fashion
2026-07-26 18:33:08
6
To see more videos from user @joyce06191, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About