humo hata jina lako huulizwi unapewa tu kazi ila ukipewa mda wa kutoka utaamua we uende nyumbn au hospital
2026-07-26 11:20:14
165
bosswalk_ :
humu haufukuzwi, unakimbia mwenyewe😂😂😂😂
2026-07-25 18:40:10
378
@Nanahloyce✨🌹🦋 :
NIONGEE KWA KUSIMAMA AU KWA KUKAA 🥹
2026-07-25 20:01:39
397
djxmumbabella :
tunae cheka comment tujuane😂
2026-07-25 19:57:11
160
user74477515033042 :
du nilipakia semi truck 🚛🚛 sikujua Kama Kila kiloba kimoja shilingi ishirini jioni mgao 3500 bado mama ntilie sijaludi tena😂😂
2026-07-25 18:00:42
201
Hamis Resident :
yan humo baada ya kupata hela, ww na hela mnaenda kutafuta Afya
2026-07-26 14:14:58
42
organic luxury product :
NILIRUDI nyumbani hata kutafuna maandazi siwez😂😂😂😂
2026-07-26 10:29:35
38
$@m6️⃣☆☆☆ :
sio poa kaka badala ya kwenda nyumbani nikaenda hospital 😂
2026-07-25 12:46:39
149
SEI_electrical installation :
na unanuliwa chakula na pesa yako bila wew mwenyewe kujua😂
2026-07-25 13:19:11
149
Balton severin :
Oyaaaa mi nlikua kuli hapo wa siku moja tuu aisee nkikua nadaiwa chuo kwenye harakati za kujitafuta nkajichanganyq hapo walah deni haliui wakuu hapo nlipakia semi zile asubuh ad usiku chakula unakula umesimama kudadadadadadeki nkaabulia elf saba kutoa naul na chakula nlibaki na elf tatu na nlikua natafuta 450k sio poa🤣🤣🤣
2026-07-25 15:00:02
175
josephsilabuye123🇹🇿 :
nilienda siku1 shift ya usku nikalala sku tatu ndani kwa uchovu cjarudi tena💪🇹🇿
2026-07-26 14:46:29
11
gladness lukumay :
mmmmmhhhhhhh🤣🤣🤣☺️
2026-07-26 07:15:52
1
officialfee7 :
Nashukur mungu kwa mwaka mmoja niliofanya kaz hapo 😁hivi sasa namim nimefungua biashara yangu ya PICHA MBAO NA PRINTING IN GENERAL🙏
2026-07-25 19:43:51
105
Jo's Mil Kids collection :
Nmecheka had nmelia haki😂😂
2026-07-25 23:39:20
2
ummy 🥰 :
comment section 😆😆😆😆😆
2026-07-25 20:28:30
1
WishRabbit :
Kipind npo chuo mwaka wa 2 nakumbuka nliendaga apo na rafki angu. Asee tulipiga kaz mpka usiku nakumbuka had mwenzagu akaanza kulia akinilaumu eti nataka kumuua. Tulirud mtaan na 2000 had nkataman nimtafute Bakhresa nimshtakie
2026-07-26 10:26:29
7
Husnath's line :
mdogoangu alinambia dada nimepata kazi bakhresa nikasema Alhamdulillah
kafanya siku 2 ya 3 nikampa hela ya hospital 🤣🤣🤣 2021
2026-07-26 07:17:14
12
code16 :
asubuhi mpaka jion kazn jion mpaka asubuhi hospital 😁😁 trip job trip hospital
2026-07-25 14:30:34
53
mxauz :
Niljuha nipogo peke yang nilieacha ndalaaa ap kumbe tupo wengii Tz ila nikiwa kwenye fly over ya Tzar nikiliona ilo jengo moyo unaenda mbioo km nipo MLOGANZILAA asee 😂😂
2026-07-25 21:32:42
70
CALVN AYO :
Yani apo niliacha ndlaa mapema nakumbuka 2023 niliendaga apo mzee nikawekwa night shifting nilisomoa kiroba😂 masaa 3 ase imefika saa 7 nikatupa maji ase niliachaga uko adi elf 3 yangu nililala kwenye hayo magunia ya ngano imefika 11 asubh mbio ila Kuna waha wa kigoma ukishindananao unaenda kulazwa mwimbilii😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-07-26 07:05:50
44
muftinho :
mm nilikuwa kuli nilibeba viloba vya unga kuanzia saa2asubuh hadi saa1usiku nikapewa elfu5 nauli juu yang ilinifurahisha kwa kweli nashinda kuelewqaa
2026-07-26 08:31:27
11
Marecan mweusi :
Siku ambayo nili omba kaz hawa kuni uliza una itwa Nani walinionyesha chumba cha kubadilisha nguo tu nivae nguo za kazi badae jioni nika pewa elfu 6
2026-07-25 20:37:13
75
geofreymollel2 :
Daaaah 😂😂😂kuleee ndio walianzisha neno uruma siyo malezi😢
2026-07-26 11:16:57
6
To see more videos from user @specialboy026, please go to the Tikwm
homepage.