mi hutengeza kila wiki. Just boil maziwa fresh si yale ya packet, let it cool luke warm, add culture (yoghurt) koroga, funika, 12to16hrs, toa then sieve.
2026-07-30 17:52:47
0
mahan :
maziwa ya mtindi ndio nini kwa kingereza tafadhali
2026-07-30 00:38:46
1
sheisblooming_24 :
Asante sana kwa kweli umenipa kitu kikibwa nilichokuwa nakihitaji for a very long time
2026-07-28 02:06:37
3
muu :
hayo maji unaweza kufanyia nn
2026-07-26 04:39:49
1
JUDY BEUTY COSMETIC :
kwa mtoto inafaa kumpa
2026-07-27 10:06:46
1
Khairat Abdallah :
nikija hapo tulia naweza kupata
2026-07-29 19:43:10
0
Sarah Nyeriga :
Umesababisha nimekufollow😂
2026-07-25 15:00:47
3
timmymwihava :
Habari. Thank u. Vitamba hivyo nita vipatia wapi..?
2026-07-25 16:23:49
2
Frank :
maziwa ya mtindi ni nini?
2026-07-26 06:43:29
0
violet123 :
mtindi ni buttermilk or yoghurt?
2026-07-26 14:08:35
0
Beyond videos :
Maji uliyochuja ni whey. Unaweza kuihifadhi ukaitumia kwenye mapishi mengine ama kinywaji!
2026-07-25 11:24:18
2
user6074536877855 :
Uko na mia migapi Chef?
2026-07-27 15:04:14
0
Salum Handsome :
quality ya video sio nzuri. unaweza kurekebisha?
2026-07-25 19:58:39
1
Mabruki Tajiri :
chef motel 👌👌👌
2026-07-25 14:58:05
2
Tamal shoes collection 👠 :
Asante sana Chef
2026-07-25 13:45:48
2
yasinlambada1517 :
Aisee hongera sana mzee
2026-07-25 22:15:08
0
Damgen Mmanga :
tufundishe kutengeneza yogurt please
2026-07-25 12:39:57
4
Seleman amour :
dah mwamba umetisha
2026-07-26 06:00:34
2
user84515287774837 :
Nimependa kauli kwamba upo jikoni,hauli kwa vile unaviona,unakula kwa vile unajua. safi Cheff
2026-07-25 16:40:18
6
Gemini007 :
Please share how do you prepare the eggs brother
2026-07-25 19:18:47
2
Lucy Robi :
Asante kwa mafunzo
2026-07-25 12:40:46
2
Summer :
Shukran sana Kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
2026-07-25 19:15:19
1
Gemini007 :
This is awsome, thank you so much for sharing this
2026-07-25 19:16:34
1
Hussein Qais 🇹🇿 :
🔥🔥🔥to the world 🌎
2026-07-25 23:16:06
1
nshika :
Kitaalam proteins zinahitaji carbohydrates kidogo ili ziweze kufanya kazi chef, wewe wanga huo unaupata kwenye nini?
2026-07-25 15:57:24
1
To see more videos from user @mzeeshefmotel, please go to the Tikwm
homepage.