nimejikuta kulia tu nime amini Kuna kitu kinaenda kubadilika kwenye maisha yangu 🙏🙏🥹🥹
2026-07-25 18:26:46
1
irene :
broo mi ni irene ni sjabiki wa nyimbo zako ..karibu kwenye channel ya The sniper one tv ,ipo kwenye king'amuz cha Azam ,,others channel 21 tunapiga nyimbo zako sana kwenye kipindi cha Gospel vibe kila siku jumamos na jumatano pia nilifurahi nilipokuona katoka tamasha la my brother Kibonge wa yesu mwezi 12 kwahy mm nitakuwa shabiki na sapota kwa kuhakikisha kuplay nyimbo zako naamin Mungu atanibariki kama wewe ulivyo barikiwa🙏🙏🙏
2026-07-25 17:33:51
1
prophète David katamba :
nakupenda sana wa wimbo wako iyi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-07-26 12:53:20
0
Lee Min Ho Tz :
blessed
2026-07-25 10:08:58
1
Mash Blessing :
Am your top fun from🇰🇪🇰🇪🔥
2026-07-25 07:32:46
0
Dory Frank :
kumbe ni mapenzi yako🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️
2026-07-26 16:44:46
0
James Girl🥀🥀 :
Amen 🙏 🙏
2026-07-25 09:38:25
1
☦️Anner8082 💒🔐 :
Ameeni hakuna wakufanana na Yesu 🥰
2026-07-25 11:33:11
0
Anna cute :
amen
2026-07-25 09:05:12
0
winie🥰🥰🌹 :
kaka fribeth umenikumbusha bether mungu akupandishe viwango vya juu
2026-07-25 13:08:21
0
Caroline emmanuel :
Amen
2026-07-25 07:04:02
1
Brayden Tarimo :
babaangu mungu akubarik sana
2026-07-25 08:35:41
0
Sauti ya radi :
Kazi nzuri saana mungu azid kukuongeza zaid na zaid
2026-07-25 07:54:36
0
pinky marly :
🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻
2026-07-25 13:49:19
0
Barkeliam :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-25 21:02:57
0
Hope_ faith :
😋😘
2026-07-26 16:07:32
0
To see more videos from user @filbert_sangule, please go to the Tikwm
homepage.