@corporatejunkie: Umewahi kusikia kuna sheria ya kufanikiwa kwenye biashara? Angalia hii! #lifeofacorporatejunkie #biashara #masomo #tanzaniantiktok🇹🇿 #biasharatiktok
Thank you, lkn Sorry hizi strategies no 2 and 3 are close can u pls differentiate kdg
2026-07-28 07:04:53
1
kombo_khan :
TUTAKUFATILIA
2026-07-29 17:42:45
1
Munene :
fact
2026-07-25 19:23:06
2
𝐌𝐫.𝐌𝐚𝐠𝐧𝐢𝐟𝐢𝐜𝐞𝐧𝐭 :
Kama huna pesa/Akiba ya kuendesha Biashara kwa miezi 3 mpk 6 Bila kuitegemea Hiyo Biashara Basi Usianze Hiyo Biashara hii Nimeielewa Sana🔥🙏🫂💯
2026-07-25 08:40:19
9
IKU BRAND❤️🔥 :
your the best 🔥
2026-07-25 17:27:07
3
Theodoreherz10567 :
fact
2026-07-26 12:44:52
3
Bungala :
I get you bro 🫡
2026-07-26 21:26:17
1
@Alice :
assnte sana mm niko hawamu ya kwanza some lako limenijenga
2026-07-25 13:21:10
2
Peter Mathias Swai :
real fact 💯
2026-07-25 19:16:27
3
FAAH COLLECTION :
nahitaji namba please
2026-07-28 02:09:46
1
Bustani Makini :
Hii si katika biashara tu yani hata katika maisha ya kawaida
2026-07-27 18:35:50
1
the Rock :
good man
2026-07-28 21:41:52
1
shian style comfort happiness :
Yaani nikajua una simulia hadithi yangu wakati naanza biashara na magumu niliyo pitia lakini sikukata tamaa nipo kileleni kiukweli sikupingi unacho sema umenikumbusha mbali sana
2026-07-27 07:43:20
2
John Chimaguli :
Asante sana kwa kunitia moyo nipo awamu ya pili sipotezi wala siingizi.Ila mwanzo nilikua napoteza sana pesa.
2026-07-25 07:30:53
3
Studentconnect_tz :
SoMo Moja zuri sana ✍️
2026-07-25 18:55:37
1
Pajuju Abaya Fashion :
🙏🙏
2026-07-25 12:25:49
2
isackmussa.tech :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-25 16:42:56
2
kevini j johanseni :
🥰🥰🥰
2026-07-25 10:37:09
2
minister mageda :
✌️👊👊
2026-07-26 18:16:47
2
To see more videos from user @corporatejunkie, please go to the Tikwm
homepage.