🤣😂😅 Umenikumbushaa mbarii nilisha chezea kichapo kisa hii taa🤣😂
2026-07-26 08:21:25
2
Swedymatutu :
Nilipiga mpira ukaiangusha sku hiyo nilipigwa na sikula nkalala njaa kaanza mama na baba ariporudi nkachezea kichapo tena
R.i.p mama angu
.R.i.p baba angu
2026-07-26 02:38:55
6
kaisizo :
acha t😁😁
2026-07-25 07:49:22
4
lydialuluzuye0 :
ongelea bas watoto kuzoea chumban kwa wazazi😂😂😂
2026-07-25 17:58:55
3
mgambo :
kwelii kago😆
2026-07-25 07:50:17
6
Eric cantona :
nikweli kabisa 😂
2026-07-26 10:08:17
0
Mariamu🍓 :
Embu siku fanya ya barafu maji yalikuwa yanaweka juu ya bati mwezi wa ramadhan
2026-07-25 12:48:52
1
samsonmahelo :
nakumbuka nilipewa kulisafisha yai na majivu ili ling'aye weeee
2026-07-26 10:10:51
0
Dick official :
🤣🤣🤣🤣🤣ngaja tu nicheke
2026-07-25 07:49:32
2
Ben Baswari :
unaongelea taa wanachezea sim kabisa utasikia mtoto analia mpe sim bhana na mama ananuna mtoto hajapewa sim achezee
2026-07-25 09:08:24
4
Kajembe Ramadhan :
inazimika inawaka
2026-07-25 07:49:53
1
Rifati :
uliza nyakati hapo tu ndo 🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 11:38:47
1
beatus mwamaso :
wahenga mpo😂😂😅🤣
2026-07-26 05:20:06
0
soft songi :
umenikumbusha mbar sana
2026-07-25 08:19:45
1
o cubic :
umenikumbusha mbali🤣🤣
2026-07-25 20:30:35
0
user9280744586654 :
ila watoto wasikiizi yani adi raha
2026-07-25 19:11:42
0
NURIYATIH G KHAN :
daah kago 🤣🤣🤣🤣nimepotia hiyo nilichezea fimbo
2026-07-25 19:45:56
0
Melki Shayo TRUCK :
inaninginizwa juu
2026-07-25 20:11:18
0
PILI RAJABU :
waonyeshe yai wengine walijue😂
2026-07-25 20:05:07
0
danza AI 2026 :
tuulizeni sisi..
2026-07-25 20:00:04
0
sandali :
nimefuta sana namajivu
2026-07-25 08:55:22
0
To see more videos from user @kago360_, please go to the Tikwm
homepage.