@agricultureplustz: 🌾🔥 RICE MILL MACHINE – GEUZA MPUNGA WAKO KUWA MCHELE WENYE THAMANI ZAIDI! Usiuze mpunga ghafi wakati unaweza kuzalisha mchele safi, unaong'aa na wenye ubora unaopendwa sokoni. ✅ Husafisha mawe na uchafu ✅ Hukoboa mpunga kwa ufanisi mkubwa ✅ Hupiga polish na kutoa mchele mweupe unaong'aa ✅ Hutenganisha chenga na mchele kiotomatiki ✅ Uwezo wa kusindika kilo 600–750 kwa saa ✅ Inatumia Single Phase (220V) 💰 Bei: Tsh 7,500,000 📞 0795 161 727 📍 Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 🚚 Tunasafirisha Tanzania nzima AGRICULTURE PLUS – Smart Farming Solutions 🌱 "Ongeza thamani ya mazao yako, ongeza faida ya biashara yako." #RiceMill #RiceMillingMachine #Mpunga #RiceBusiness #KilimoKisasa