@emma.knowsmore: Mwili Wa Binadamu Ni Elecro-Magnetic Field, Kwa Ufupi Unazalisha Umeme Na Mawimbi Ya Sumaku/Magnet. Tuongelee Hapo Kwenye Sumaku😊 Kama Nilivyoelezea Electromagnetic Waves Zipo Kwenye Organ Mbili Tu, Ubongo Na Moyo, Lakini Moyo Wako Ni Zaidi Maana Unazalisha 60% Zaidi Ya Ubongo 40% Hata Mtoto Mdogo Akizaliwa Moyo Wake Unakuwa Active Kuliko Akili, Ndo Maana Anatengeneza Hisia Za Upendo Kwa Mama Yake Kabla Akili Yake Haijapevuka. Vyote Hivi Vinashirikiana Lakini Usisahau Kuwa Hisia Zina Nguvu Kuliko Mawazo. Ukitaka Kuniamini Angalia Namna Watu Wengi Wana Mawazo Positive Lakini Kwasababu Hisia Zao Zipo Affected Na Experience Zao Za Nyuma Zinafanya Yale Mawazo Positive Yabaki Kuwa Negative😪 Hali Za Umaskini Zimekutengenezea Hisia Za Kuamini Kuwa Mambo Ni Magumu, Hivyo basi Hata Ukitaka Kufanya Vitu Vipya Hauwezi Kwasababu Zile Hisia (Unajiskiaje Kuhusu Umasikini) Zina Nguvu Kuliko Mawazo Yako Ya Utajiri😀 BADILISHA NAMNA UNAVYOJISIKIA KWANZA KUHUSU MAHUSIANO, AJIRA, PROMOTION, BIASHARA nk KABLA YA KUANZA KUBADILI MAWAZO YAKO KILA SIKU KUHUSU HIVYO VITU. Nimeandika Herufi Kubwa Kwa Maana Hiyo Ndo Code Kwenye Kila Kitu Utakachotaka Kufanya. EMOTIONS IS THE LANGUAGE OF THE UNIVERSE😊 I Hope Hii Itakuwa Imekusaidia😊
EMMA KNOWS MORE😎
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 07:54:17 GMT
Music
Download
Comments
Victor🍀☘️🍃 :
Power of subconscious mind
2026-07-25 16:02:07
1
Mashairi ya Jumbe Genius :
mixer ya physics na Bible knowledge, unatoa good product
2026-07-25 14:36:14
1
Àgy Emma :
powerful
2026-07-25 16:34:37
0
Baby wa bby :
let me follow you
2026-07-25 13:58:58
1
Best 73.0 :
Umetisha Jooh👊
2026-07-25 14:02:06
1
Damian💠 :
Umeongea facts sana. absolutely brilliant
2026-07-25 13:48:29
1
Frida_ :
Finally nimekutana na mtu tunaeza elewana❤️❤️
2026-07-25 12:15:40
6
call me eli :
Finally tunaongezeka
2026-07-25 15:19:26
3
Bizo icon :
Electro magnetic Field Aseee noma sana
2026-07-25 09:29:12
1
Daisy 🫰 :
Power of subconscious mind
Feeling is a secret
plus kabible verse uwiiiii umeua.
2026-07-25 17:16:42
1
Justine :
taratibu nakuelewa ni kitu cha msingi sana
2026-07-25 17:10:02
1
Bahati Hub |Digital Creativity :
Exactly👊
2026-07-25 12:01:06
0
lumenlabs_tz :
😂 hii ni theory na philosophy
2026-07-25 15:39:36
0
DIMA :
Nimeipenda hiyo sana.... nimekuelewa sana.🙏🙏
2026-07-25 13:47:46
0
muhamajr :
unajuwa mkali kabisa wew
2026-07-25 18:38:28
0
. :
string theory ...
2026-07-25 16:17:07
1
Mashairi ya Jumbe Genius :
yeah
2026-07-25 14:35:43
1
king :
😂😂😂
2026-07-25 12:02:56
1
Mamacita🥰 :
😰😰
2026-07-25 12:14:05
1
jescamutale :
🙌🙌
2026-07-25 16:29:27
1
To see more videos from user @emma.knowsmore, please go to the Tikwm
homepage.