@jipandile1:

Sipandile
Sipandile
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 08:06:21 GMT
46696
2265
292
158

Music

Download

Comments

jackisonmagida
[email protected] :
pamba nikwer
2026-07-25 10:37:30
5
user3181408668384
user3181408668384 :
umeongea point sana kaka tunalima pamba alafu bei tunapangiwa
2026-07-25 14:29:39
30
masasiempirecement
Masasiempirecement :
😂😂😂 nicheki whats up
2026-07-25 16:56:58
0
user4085236181481
masha :
point kabisa mi nilipima pamba malipo nilitakiwa kupewa laki 250,000/= ila nikaambulia 160'000/= fah!!!
2026-07-25 19:28:03
6
ma...clarah
£6..Martin 🔐 :
haki nmecheka na nikakumbuka mbar sana😄😄😄😄
2026-07-25 16:00:18
8
user5811132848552
kasukuma :
hahahaha au ndo kwetu ushetu
2026-07-25 08:29:10
4
user37001705930986
mathias :
Kuacha a nalo walime wenyewe serikali
2026-07-25 15:19:50
5
michaelpaschal21
Michael Paschal :
yani bro usinikubushe Machugu yani jaa kwetu ilikuwa haiishi kila mwaka
2026-07-25 11:26:03
5
daudi.yusuphu0
daudi yusuphu :
HASWAAAAAAAAA,,, kwanza ebu nikupe maua yako🫡🫡🫡🫡
2026-07-25 19:56:42
3
ulugushigelamg44
ulugu shigela 💰💰💵 :
nin iyo
2026-07-25 08:23:26
0
francismakungu698
Francis Makungu :
Ukweli mtupu. Hongera kwa kuwasanua wakulima. Mwenye sikio na asikie.
2026-07-25 19:52:42
5
sitabulugu
6dawa♻️♠️ :
jaman kurud nyuma kwenye simu ya iphone nafanyaje manake tang asubuh nmeshindwa kutoka ticktock😳😂🔥
2026-07-25 18:14:45
1
emilykagoma.com
emily kagoma :
yaan kweli kabisa da pamba hutoboi
2026-07-25 15:30:01
5
jayclassic00
JETA CLASSIC :
😂😂😂😂😂umeongea ukwel kabisa tena afadhali mwanzon saivi kila kitu njaru yaan dharau😂😂😂
2026-07-25 16:35:22
3
benjaminthomasgol
MR. BENJA 19.✅️ :
kweli kabisa nakumbuka nilima pamba 2010 niliweka garam kubwa nikaambulia hela ndogo sana
2026-07-26 08:38:32
1
maico2180
maicosalumuchelsi :
uko sahihi kabisa Mimi nishasema siwez kulima tena
2026-07-25 19:49:07
2
magreth.jurius
magreth jurius :
mm sijaerewa ndo nn hiyo
2026-07-25 20:30:30
0
nyandanestory
nyandanestory :
kk nimecheka sana umetisha.
2026-07-26 20:57:23
1
.frank.shinje
.Frank Shinje :
😂😂😂 alafu mbaya zaidi huwezi kuacha kulima
2026-07-26 05:28:50
1
leticiamabula106
leticia $focused lady :
2026-07-26 19:40:29
0
erickerickbudo
Erick budo :
kwel kabisa
2026-07-26 19:59:35
0
th.store612
TH store :
Yani mazao yanayohusu serikali hpn kwakweli
2026-07-26 21:29:17
0
user4169997552577
BENJA_OYANGA :
kweli kweli jamaa
2026-07-25 10:12:09
1
user6590772903465
user6590772903465 :
Dah jamaa umeongea point sana aisee
2026-07-26 22:22:13
0
To see more videos from user @jipandile1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About