@mbwizzo: Argentina wametoa list ya wanamitandao walioongoza kuwacheka/kuwadisi mtandaoni, wote watapigwa faini. na Mbwizzo yupo 😂😂😂 . #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #mbwizzo #argentina
Mbwizzo DZO
Region: TZ
Saturday 25 July 2026 08:09:34 GMT
Music
Download
Comments
Hope :
kwani kuna watu wanna ndoto za kwenda Argentina
2026-07-25 11:27:03
89
0fficial y0ung c..💎👑 :
xax 100 khalf nae kafanyj
2026-07-25 10:18:49
0
Sami 💀💀 :
nachoka mm
2026-07-25 19:52:39
0
Rehema Salah :
kaka unavyoondk unishtuee😁😁😁😆ila Argentina wame2wezaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-25 19:02:04
0
that_richie_guy.🤑 :
Anasemwa trump sembuse wao😂😂😂
2026-07-25 11:18:35
77
clever9 :
sasa walitaka tukae kimya 😂😁😁😂😁 sasa Argentina watu waende kufanya nini
2026-07-25 11:25:43
27
migøs🤟💣 :
watume nauli tu😅
2026-07-25 09:27:45
29
budq :
17700 tuuu
2026-07-25 14:17:41
0
from the far eastern :
hadi MIA nani
2026-07-25 12:42:07
12
Enock_HS :
i never knew they are so petty😂, it's football come-on 😂😂😂
2026-07-25 14:38:10
0
Salim Al harthi :
Acha uongo waje kimanzchana nipo
2026-07-25 15:08:33
0
وحد🖤🦋 :
Iyo efkumi tunalip kwa mix by yas Au vp???
2026-07-25 13:13:44
3
MCHOKOZI :
mi nazamia
2026-07-25 18:45:43
4
MALONE :
hadi miaaaa 😳😳😳😳😳
2026-07-25 09:10:03
5
Forreal Kin :
Umeedit hiyo namba 3 😄😅😁😂 .
Kwenye hiyo list haupo kabisa 😂😁😳🤣😳😅😄 .
2026-07-25 12:15:19
5
Maldy Maldwex :
kwaiyo na ronaldo akitafuta list ya watu wanaomsema vbaya si atajaza
2026-07-25 14:16:17
1
@ Colon🤫 :
mimi nisipo kuepo bc iyo list ni ya uwongo
2026-07-25 10:50:58
5
Symoh😎 :
sasa hata niende Argentina nkafanye nini na nchi ynywee Iko racist
2026-07-25 12:40:21
3
Duma tz :
NIMO ILA SIENDI
2026-07-25 19:22:09
2
DANIEL LUXURY SHOES - TZ :
sawa brother deni tuna lipa lini
2026-07-25 11:23:50
3
Wilson's Quotes🔞🦁.following :
bro usiende wanaubaguzi wa rangi
2026-07-25 17:13:50
2
misssophie❤️🔥📸 :
Jina langu nipo 😂😂😂naona kabisa
2026-07-25 11:26:17
3
Qrevodmonstar :
basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii blood 🔥🔥🔥
2026-07-25 11:25:50
3
To see more videos from user @mbwizzo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.