@john_masoga_tz: 🟩🟨⬛KWANI NI VITA???? Anyways! Huu ni mfano wa kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa 2026/27. Muda huo benchi kuna Kipaji cha soka, Abushiri, kuna Mzize, Depu, Mudathir, Boka, Pacome (akirejea) nk.🔥🔥 Jambo zuri na la kufurahisha ni namna kikosi kinavyokwenda kuwa kipana tena🔥 Okay! Wewe ungepangaje kikosi? #nelloveupdates #daimambelenyumamwiko
apo sub kuna
pacome
aziz ki
girumugisha
mudathir
sure boy
2026-07-25 19:34:47
0
captain BIZMANI :
toa mmoja akae k stephn
2026-07-25 15:42:12
1
Doctor Abdallah :
Ni utam Utam.. Wataelewa tuu
2026-07-25 16:30:12
2
abuu classic🔥 :
me nachoka nahaya mambo lakin😂😂
2026-07-25 14:33:31
1
@Miss_Chris :
2026-07-25 18:36:19
1
pendo :
Simba wamekwisha
2026-07-25 18:50:17
1
Matty Jeremia :
ayiiiiiiii chichichi💚💚💚💚
2026-07-25 18:17:29
1
Kp_mgerman :
2026-07-25 16:43:22
2
Suzy Ella's :
Hii ndo yanga yangu sasa...🥰🥰🥰
2026-07-25 18:30:14
1
mangutule :
umeuA ap0 mwanangu
2026-07-25 17:46:12
1
JPM :
kuna watu hawata leta timu
2026-07-25 17:36:24
0
monica sengori :
tutapat laha san
2026-07-25 16:50:50
1
MRS❤️GERVAS💯 :
mziz ayupo
2026-07-25 17:36:43
1
IDRISA ADAM :
sijui na mie ni comment jina la kocha we2 sema ndo siwez kulitamka😂
2026-07-25 17:09:18
1
1dickson01 :
Yanga Bingwa♥️
2026-07-25 17:16:06
0
Happie :
sas ao wengine watachez kwel
2026-07-25 15:27:13
0
John_masoga_tz :
🟩🟨⬛KWANI NI VITA???? Anyways! Huu ni mfano wa kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa 2026/27. Muda huo benchi kuna Kipaji cha soka, Abushiri, kuna Mzize, Depu, Mudathir, Boka, Pacome (akirejea) nk.🔥🔥
Jambo zuri na la kufurahisha ni namna kikosi kinavyokwenda kuwa kipana tena🔥
Okay! Wewe ungepangaje kikosi?
#nelloveupdates
#daimambelenyumamwiko🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-25 08:44:26
2
Maa finest🙅🙅 :
Kwahii tim Kuna watu nawaonea huruma xana 🤣🤣🤣
2026-07-25 10:45:14
1
George Paulo :
toa mmoja akae mzize
2026-07-25 12:11:24
1
Mack fng :
watajambah san
2026-07-25 19:15:06
0
Mkomolo boy☠️☠️☠️☠️☠️☠️💀💀💀 :
mamaeeeeeee kwisha kbc
2026-07-25 19:01:56
1
Aisherfaraj :
hapo mzize,pacome na mudathil hawapo
2026-07-25 17:42:00
1
chief :
watajamba sana
2026-07-25 14:48:34
1
Maria Juma :
💚💚💚
2026-07-25 17:50:06
0
To see more videos from user @john_masoga_tz, please go to the Tikwm
homepage.