so hii diabetes nikonayo labda niya kutumwa
I thought as much because kwetu hakuna history ya diabetes
2026-07-26 14:27:30
3
Debra :
too late my brother 😪 😔 alienda hivo l can never heal eti diabetes diabetes 😢 😤 😔 collapse 10 times a day😭😭😭😭God😳 tulifunguliwa macho wakati ameenda 😭😭
2026-07-26 09:51:52
2
dee :
weee.acha ninyamaze.
protect yourself guys.
life is spiritual na kitu anasema ni very true
2026-07-26 15:15:48
3
marrionatter :
my sister died because of cancer ya musukumo,
2026-07-26 19:51:30
0
Jacklyne :
woi my friend aliskumiwa miningitis 😳😳
2026-07-26 09:20:57
2
mamake :
wangapi wanaelewa vile anasema ✋️mimi naelewa vizuri sana
2026-07-25 15:42:46
271
Woman of Faith :
true.nilikuwa nimeskumiwa cancer .in cervical..my friend I prayed ilisha na nikacha kuvaa panty
2026-07-25 09:54:07
48
Tina wambui :
i wish i knew this before my son and daughter passed on....sai atleast najua mambo mob
2026-07-26 11:41:24
4
🙂↕️m@donna🐱 :
Through christ we have all outhority to curse and bless
2026-07-26 08:17:36
26
mercy superstar :
spiritual sickness and physically sickness.are not the same .be prayerful
2026-07-26 07:19:47
19
Daisy :
mamangu amesukumiwa mara sukari,pressure, figo,tumechoka na kwenda hosi ,aki tusaindie
2026-07-26 08:12:37
24
scorpion 🦂 :
my siz alipatikana Na cervical cancer akuna Ho's atukwenda mpaka tukachoka ndio tukaoneshwa Kwa babu mwingine akampea dawa imagine it's years since alipona kabisa but Sio cheap
2026-07-26 03:25:58
15
mamadangote 254 :
mimi nilitumwa nikaombea watu wawili wa cancer na wakapona kabisa nilisikia sauti ya Mungu na nikaenda nikaomba wakapona 🙏
2026-07-26 09:54:20
15
Emmaculate Anyang606 :
maombi maombi maombi believe me utapona
2026-07-26 06:49:55
9
🫠🫠🫠🫠🫠🫠🫠 :
mimi niliorogwa mbaka nyoka inatembea kwa mwili😁😁nkienda hosi damu inaisha.yote.mara pressures mara hakna.tuliuza hadi kikombe😁😁😁but mtu simple aliniamgalia hvi akanchunia miti shamba nkaoga. nkajipaka.ni hvo nilipona mbaka leo
2026-07-26 04:53:18
13
Luna221 :
please signs za magonjwa ya kutumwa
2026-07-25 19:55:27
7
Blessings💖 :
bro yangu alisukumiwa always sick lkn hakuna ugonjwa huwa inaonekana ,too sick hadi anakosa kutembea hosi nrb mzima hawaonagi ugonjwa na n mtu alianza kuumwa akiwa 3rd year university
2026-07-26 08:15:53
4
CAREN 254 :
yes umebonga ya ukweli ♥️♥️♥️
2026-07-25 09:13:33
7
Melisa❤️ :
aki ni saidia na number ya vichochoro aki mimi pia ni pone
2026-07-25 18:39:39
5
Ms.Tasha. :
Aki ukweli am a witness mama
2026-07-25 14:34:34
6
Lavender :
mum has been battling sickness na wakipima hakuna since 2021,last month she was nose bleeding continuously, vomiting blood akawa admitted and too make it worse she's anemic they run all the test but nothing until today,her weight was dropping like crazy,weuh have never tense kama last last month. God is faithful
2026-07-26 08:24:32
1
purple 💜💜💜 :
process ya kuchungusha ni aje sasa
2026-07-26 09:11:13
0
annwaithera580 :
nisaidie nimekua mgojwa miaka mingi na sina ugojwa
2026-07-26 05:40:13
1
user6096789601960 :
My mum alingojeka from 2022 amekua kwa bed Hadi Sasa hakuna hosi hajaenda na Bado ajawai pona daktari walisema wameshidwa
2026-07-26 13:09:55
0
princess :
mtu anipe dawa za mashilingi hasisiki dawa kabisaa
2026-07-25 18:55:42
1
To see more videos from user @irenenanjala03, please go to the Tikwm
homepage.